Njia ya Jua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Ecliptic with earth and sun animation.gif|400px|thumb|Kwa mtazamji kwenye Dunia yetu Jua linabadilika mahali pake kulingana na nyota zinazoonekana nyuma yake. Inaonekana vema kwa kulinganisha nyota zinapoonekana kwenye sehemu ya mapambazuko au machweo ya Jua angani katika mwendo wa mwaka. Baada ya siku 365 mwendo huu unarudia. Hali halisi ni Dunia inayozunguka Jua na hivyo tunaona nyota tofauti-tofauti „nyuma“ ya Jua.]]
 
'''Ekliptiki''' ([[ing.]] ''[[:en:ecliptic|ecliptic]]'') ni mstari wa kudhaniwa kwenye [[anga]] la [[Dunia]] ambako [[Jua]] linapita mbele ya [[nyota]] katika muda wa [[mwaka]] mmoja. Haionekani kirahisi kwa macho kwa sababu tunaona Jua wakati wa mchana ambako nyota hazionekani.