Meli za mizigo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 6:
[[Meli]] hizi za [[mizigo]] za kisasa zinaweza kubeba [[mizigo]] mingi na mizito kama vile [[magari]], [[mashine]] mbalimbali za [[kazi]] na kusafirisha kutoka [[bara]] moja kwenda [[bara]] jingine.
 
[[Meli]] hizi hutumia muda mrefu kufika sehemu husika kwani kuna muda [[meli]] hizi husumbuliwa na [[dhoruba]] za majini kama vile [[mawimbi]], na muda mwingine [[meli]] hizi huhitaji kufanyiwa [[matengenezo]] ili ziweze kuendelea na [[safari]] zake.meli hizi zipo za aina nyingi,zipo zilizo tengenezwa kwa ajili ya kusafirisha [[vyakula na matunda]] ambapo ndani ya meli hii ya vyakula huwa kuna [[majokofu]] kwa ajili ya kutunza [[vyakula na matunda]] hayo ili yasiharibike njiani kwani vyakula huitaji uangali mzuri ili visiharibike.Pia zipo meli za mizigo zilizo tengenezwa kwa ajili ya kusafirisha [[mafuta]] kama [[petroli]],[[dizeli]],ambapo ndani ya meli hizi kuna [[matenki]] ya kubebea [[mafuta]].Meli zote huwa na mstari chini yake mstari huwo mara nyingi huwa wa [[rangi]] nyekundu au nyeusi,na mstari huu hautakiwi kuzama kabisa ndani ya maji kwani meli inaweza kuzama pale tu mstari huu utakapo zama wote ndani ya [[maji]] .Pia [[meli]] hizi hazitakiwi kutembea katika [[maji]] yenye kina kifupi kwani zinawiza kuzama.
 
{{mbegu}}