Kupro : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 57:
 
[[Mji mkuu]] ni [[Nikosia]].
 
 
 
==Historia==
Line 82 ⟶ 80:
[[kaskazini]] (Waturuki) na [[kusini]] (Wagiriki).
 
===Baada ya uhuru===
Tangu [[vita vya Kupro, 1974]] [[kisiwa]] kimegawiwa, huku maeneo ya [[kaskazini]] yakiwa yanatawaliwa na [[Jamhuri ya Kituruki ya Cyprus ya Kaskazini]] isiyotambulika kimataifa.
 
Line 88 ⟶ 86:
 
==Watu==
Wakazi walio wengi hutumia [[lugha]] ya [[Kigiriki]], wengine [[Kituruki]], ambazo zote mbili ni [[lugha rasmi]].

Kwa jumla hao wa kwanza ni [[Wakristo]] [[Waorthodoksi]] (78% za wakazi wote), hao wa pili ni [[Waislamu]] (20%).
 
Wakristo wengine ni [[Wakatoliki]], [[Kanisa la Kitume la Armenia|Waarmenia]] na [[Waanglikana]].