Wanyama wa nyumbani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Domestic animals livestock.jpg|thumb|297x297px|Ng'ombe machungani.]]
[[File:Zubron2.jpg|thumb|[[Ng'ombe]] aina ya Żubroń.]]
[[Picha:Marans hen.jpg|thumb|mifugoMifugo ya nyumbani]]
'''Wanyama wa nyumbani''' au '''wanyama-kaya''' au '''mifugo''' (kutoka [[kitenzi]] "kufuga") ni wale [[wanyama]] ambao huishi katika [[mazingira]] ambayo [[mwanadamu]] anaishi na hawawezi kumuathiri kwa [[kiasi]] kikubwa. Wanyama hao wanatunzwa kwa uangalizi wa binadamu kwa ajili ya [[ulinzi]], [[michezo]], [[kazi]], [[pambo]] na majaribio ya [[maabara]].
 
Tangu [[milenia]] kadhaa wanyama hao wamepatana na wanadamu, nao ni kama vile [[mbwa]], [[mbuzi]], [[nguruwe]], [[kondoo]], [[ng'ombe]], [[paka]], [[kuku]], [[punda]], [[bata]], [[nyuki]], [[ngamia]], [[farasi]], [[njiwa]], [[kware]] na wengine wengi.
 
Wanyama hao wana [[faida]] katika maisha ya wanadamu; kwa mfano:
* ng'ombe hupatia watu [[maziwa]], [[nyama]], pia [[ngozi]] yake inaweza kutumika kutengeneea vitu mbalimbali.
Mbwa* mbwa husaidia hasa katika suala la ulinzi katika mazingira yanayomzunguka mwanadamu.
Mbuzi* mbuzi huwapatia watu nyama, maziwa ila si mazuri kama yale ya ng'ombe na pia ngozi yake hutumika kutengenezea vitu kama vile [[ngoma]], hasa katika [[jamii]] za [[Afrika]].
Kware* kware ni [[Ndege (mnyama)|ndege]] mdogo; [[mayai]] yake ni madogo sana yana faida kubwa katika [[mwili]] wa mwanadamu kwa sababu yanasemekena kutibu baadhi ya [[magonjwa]] katika miili yetu.
 
Mifugo hii huwa na [[faida]] nyingi sana kwa mwanadamu, kwa hiyo anashauriwa kuwafuga kwa ajili ya faida zifuatazo:
Mbwa husaidia hasa katika suala la ulinzi katika mazingira yanayomzunguka mwanadamu.
*1. Mifugo kama vile ng'ombe na mbuzi hutupatia [[maziwa]] ambayo hutusaidia kupata [[protini]] ambayo husaidia mwili kukua na pia huulinda mwili dhidi ya [[magonjwa]].
*2. Mifugo pia hutupatia [[nyama]], ambayo hutupata protini ambayo husaidia mwili kukua na pia kulinda mwili dhidi ya magonjwa.
*3. Mifugo hutupatia [[pesa]] kwa kuuza [[nyama]], [[maziwa]], [[ngozi]], [[kwato]], [[mbolea]] na hata wanyama wenyewe.
*4. Ngozi ya mifugo hutumika kutengenezea vitu kama vile [[ngoma]], [[viatu]], [[mikanda]], [[nguo]]. Vitu vinavyotengenezwa kwa kutumia ngozi ni imara na pia hudumu kwa muda mrefu.
*5. Kwato za wanyama hawa hutumika kutengenezea vyombo kama [[sahani]],[[vibakuli]], na kadhalika.
*6. Mavi ya wanyama hutumika kama [[mbolea]] ambayo huwezesha [[mazao]] kukua haraka na kustawi vizuri.
 
Wanyama wana faida nyingi sana; hizi ni chache tu. Wanyama hao hutoa pia faida za kihisia kama mazoezi, mahusiano ya kijamii na n.k. Wanyama hawa huondoa upweke kwa watu wasiokuwa na marafiki au mahusiano ya kijamii kama [[wazee]], [[watoto]], [[Ujauzito|wajawazito]]. Wanyama wengine huwatembelea [[wagonjwa]].
Mbuzi huwapatia watu nyama, maziwa ila si mazuri kama yale ya ng'ombe na pia ngozi yake hutumika kutengenezea vitu kama vile [[ngoma]], hasa katika [[jamii]] za [[Afrika]].
 
Kware ni [[Ndege (mnyama)|ndege]] mdogo; [[mayai]] yake ni madogo sana yana faida kubwa katika [[mwili]] wa mwanadamu kwa sababu yanasemekena kutibu baadhi ya [[magonjwa]] katika miili yetu.
 
Wanyama hao hutoa pia faida za kihisia kama mazoezi, mahusiano ya kijamii na n.k. Wanyama hawa huondoa upweke kwa watu wasiokuwa na marafiki au mahusiano ya kijamii kama [[wazee]], [[watoto]], [[Ujauzito|wajawazito]]. Wanyama wengine huwatembelea [[wagonjwa]].
 
Wanyama hawa hufundiswa jinsi ya kufanya vitu vya kisayansi, kwa kulenga wagonjwa.
 
Hivyo tunaweza kuona faida za wanyama hao: niinafaa vizuri tukiwatunzatuwatunze vizuri kwani tunawategemea katika shughuli mbalimbali za kijamii na za kiuchumi.
 
1. Wanyama hawatakiwi kupigwa.