Nyota nova : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 3:
 
==Historia ya utazamaji==
Zamani nyota zote zilizowaka hivi ziliitwa kwa jina lilelile "nova". Jina hili lilitumiwa mara ya kwanza na [[Tycho Brahe]] aliyeona kwenye mwaka 1572 nyota mpya katika eneo la kundinyota [[Mke wa Kurusi|Mke wa Kurusi ''(Cassiopeia)'']] na kueleza utafiti wake katika kitabu cha "De stella nova" <ref>Kilatini kwa "Kuhusu nyota mpya", linganisha [https://www.nasa.gov/mission_pages/WISE/multimedia/gallery/pia13119.html Tycho's Supernova Remnant], tovuti ya NASA, iliangaliwa Februari 2108</ref>. Tycho Brahe alianzisha wakati ule amjadilianomajadiliano kuhusu mafundisho ya wataalamu wa kale walioamini ya kwamba hakuna mabadiliko kwenye anga ya nyota.
 
Lakini kunaKuna taarifa za kale zaidi kuhusu nyota mpya zilizotokea angani. na ileTaarifa ya kale zaidi ni ya wanaastronomia Wachina wa mwaka 185 kuhukuhusu "nyota geni" iliyoonekana karibu na [[Rijili Kantori|Rijili Kantori ''(α Centauri)'']]. Nova nyingine ilitazamiwa mwaka 1006 na kurekodiwa na wanaastronomia Wachina, Wajapani na Wakristo wa Baghdad, mabaki yake huonekana hadi leo kama "Nebula ya Kaa" katika eneo la [[Tauri (kundinyota)|Tauri ''(Taurus)'']].
 
==Tofauti kati ya Nova na Supanova==