Nyota nova : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 17:
Nyota nova za kawaida zinatokea katika [[Nyota pacha|mfumo wa nyota pacha]]. Nadharia inayokubalika na wengi inasema: [[nyota kibete cheupe]] na nyota kubwa, hasa [[jitu jekundu]], zinazungukana kwa umbali wa karibu. Kibete cheupe kimeshamaliza [[hidrojeni]] yake na kujikaza, hivyo [[graviti]] yake bado ni kubwa ingawa mjao wake ni mdogo, pia ni joto sana. Jitu jekundu la jirani linaendelea kupanuka. Hapa sehemu ya mata ya tabaka za nje ya nyota kubwa inavutwa na graviti ya nyota ndogo na kuhamia upande wake. Sehemu ya mata hii ni hidrojeni inayokusanyika kwa umbo la [[diski ya uongezekaji]]<ref>ing. "accretion disk"</ref> inayozunguka Kibete Cheupe na hatimaye kufikia karibu zaidi na kuunda angahewa. Hidrojeni hii inapashwa moto na uso wa Kibete Cheupe hadi kufikia halijoto ya kutosha ya kuanzisha [[myeyungano wa kinyuklia]] ''(nuclear fusion)''.
 
Mchakato huu unazalisha kiasi kikubwa cha nishati inayorushana kurusha sehemu ya hidrojeni iliyowakainayowaka kwenye anga la nje. Hii inaongeza mwangaza wa nyota inayoonekana sasa kama nyota nova. Kiasi cha masi inayorushwa angani wakati wa kuwaka inakadiriwa kuwainalingana takriban [[M☉|M<sub>☉</sub>]]na <sup>1</sup>/<sub>10,000</sub> ya [[masi ya Jua]].
 
Maendeleo ya nova inafuata hatua kama hizi:
* wakati myeyungano wa kinyuklia unaanza usoni mwa Kibete Cheupe mwangaza wake unaongezeka takriban [[mag]] 9 katika kipindi cha siku chache.
* mara nyingi mwangaza unabaki palepalehuohuo kwa siku kadhaa; hatua hii haikutazamiwa kwa kila nova
* baada ya siku hadi wiki kadhaa mwangaza unaongezeka tena mnamokiasi cha [[mag]] 2.
* kutoka kilele hiki mwangaza unaanza kupungua mnamokwa kiai cha mag 3.5
* katika hatua inayofuata kuna kupoa tena, manmokwa mag 3, atikakatika muda wa miezi hadi miaka kadhaa
* katika miaka au [[miongo]] inayofuata mwangaza unaendelea kupungua hadi kufikia tena hali ya awali.
 
==NovaKugunduliwa zakwa kurudianova==
Kila mwaka kuna takriban nyota nova 10 zinazotazamiwazinazotazamwa katika Njia Nyeupe<ref>[http://cbat.eps.harvard.edu/nova_list.html List of Novae in the Milky Way], tovuti ya Central Bureau for Astronomical Telegrams, iliangaliwa Februari 2018</ref>. Lakini wanaastronomia hukadiria ya kwamba idadi halisi ni kubwa zaidi, labda mnamo 50 zinazotokea kila mwaka katika galaksi yetu<ref>[https://arxiv.org/pdf/1606.02358.pdf Shafter, A.W. (January 2017). "The Galactic Nova Rate Revisited". The Astrophysical Journal. 834 (2): 192–203]</ref>.
Kinadharia mchakato huu unaweza kurudia mara kadhaa kwa sababu baada ya mlipuko wa angahewa ya nyota ndogo mata kutoka jirani mkubwa inaanza kuvutwa tena. Nyota RS Ophiuchi katika [[Hawaa (kundinyota)|kundinyota ya Hawaa]] ilitazamiwa kuwaka mara sita<ref>[https://www.aanda.org/articles/aa/full_html/2009/15/aa11417-08/aa11417-08.html Brandi, E.; Quiroga, C.; Mikołajewska, J. (2009). "Spectroscopic orbits and variations of RS Ophiuchi". Astronomy and Astrophysics. 497]</ref>: 1898, 1933, 1958, 1967, 1985 na 2006. Hadi sasa kuna nyota nova 10 zilizotazamiwa kuwaka tena kati ya takriban 400 zilizogunduliwa katika [[Njia Nyeupe]]<ref>[http://iopscience.iop.org/article/10.1088/0004-637X/746/1/61/pdf M. J. Darnley, V. A. R. M. Ribeiro1,2, M. F. Bode, R. A. Hounsell, and R. P. Williams, ON THE PROGENITORS OF GALACTIC NOVAE], The Astrophysical Journal, Volume 746, Number 1, Published 2012 January 25 </ref>; kwa hiyo hakuna uhakika bado kuhusu muda wa kawaida uliopo baina ya kuwaka kwa nyota. Kama nyota kibete imeendelea kukusanya mata nyingi kuna uwezekano ya kwamba mwishoni inalipuka kama supanova <ref>Sababu yake ni ya kwamba graviti yake inaweza kuzidi shinikizo ya mnururisho ndani yake ambayo kwa kawaida inatunza uwiano ndani ya nyota</ref>
 
Kila mwaka kuna takriban nyota nova 10 zinazotazamiwa katika Njia Nyeupe<ref>[http://cbat.eps.harvard.edu/nova_list.html List of Novae in the Milky Way], tovuti ya Central Bureau for Astronomical Telegrams, iliangaliwa Februari 2018</ref>. Lakini wanaastronomia hukadiria ya kwamba idadi halisi ni kubwa zaidi, labda mnamo 50 kila mwaka katika galaksi yetu<ref>[https://arxiv.org/pdf/1606.02358.pdf Shafter, A.W. (January 2017). "The Galactic Nova Rate Revisited". The Astrophysical Journal. 834 (2): 192–203]</ref>.
 
Nyota nova zinagunduliwa pia katika galaksi nyingine, kwa mfano katika [[galaksi ya Andromeda]] (M31) na penginepo<ref>[http://cbat.eps.harvard.edu/CBAT_M31.html M31 (Apparent) Novae Page], tovuti ya Central Bureau for Astronomical Telegrams, iliangaliwa Februari 2018 </ref>.
 
==Nova za kurudia==
Kinadharia mchakato huu unaweza kurudia mara kadhaa kwa sababu baada ya mlipuko wa angahewa ya nyota ndogo, mata kutoka jirani mkubwa inaanza kuvutwa tena. Nyota RS Ophiuchi katika [[Hawaa (kundinyota)|kundinyota ya Hawaa]] ilitazamiwa kuwaka mara sita<ref>[https://www.aanda.org/articles/aa/full_html/2009/15/aa11417-08/aa11417-08.html Brandi, E.; Quiroga, C.; Mikołajewska, J. (2009). "Spectroscopic orbits and variations of RS Ophiuchi". Astronomy and Astrophysics. 497]</ref>: 1898, 1933, 1958, 1967, 1985 na 2006.
 
Kinadharia mchakato huu unaweza kurudia mara kadhaa kwa sababu baada ya mlipuko wa angahewa ya nyota ndogo mata kutoka jirani mkubwa inaanza kuvutwa tena. Nyota RS Ophiuchi katika [[Hawaa (kundinyota)|kundinyota ya Hawaa]] ilitazamiwa kuwaka mara sita<ref>[https://www.aanda.org/articles/aa/full_html/2009/15/aa11417-08/aa11417-08.html Brandi, E.; Quiroga, C.; Mikołajewska, J. (2009). "Spectroscopic orbits and variations of RS Ophiuchi". Astronomy and Astrophysics. 497]</ref>: 1898, 1933, 1958, 1967, 1985 na 2006. Hadi sasa kuna nyota nova 10 zilizotazamiwazilizotazamwa kuwaka tena kati ya takriban 400 zilizogunduliwa katika [[Njia Nyeupe]]<ref>[http://iopscience.iop.org/article/10.1088/0004-637X/746/1/61/pdf M. J. Darnley, V. A. R. M. Ribeiro1,2, M. F. Bode, R. A. Hounsell, and R. P. Williams, ON THE PROGENITORS OF GALACTIC NOVAE], The Astrophysical Journal, Volume 746, Number 1, Published 2012 January 25 </ref>; kwa hiyo hakuna uhakika bado kuhusu muda wa kawaida uliopo baina ya kuwaka kwa nyota. Kama nyota kibete imeendelea kukusanya mata nyingi kuna uwezekano ya kwamba inalipuka mwishoni inalipuka kama supanova <ref>Sababu yake ni ya kwamba graviti yake inaweza kuzidi shinikizo ya mnururisho ndani yake ambayo kwa kawaida inatunza uwiano ndani ya nyota</ref>
 
==Tanbihi==