Telegrafu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:OptischerTelegraf.jpg|right|250px|thumb|Telegrafu ya kihistoria nchini [[Ujerumani]] ilitumia alama za [[mikono]] ya [[ubao]] kwa kuonyesha herufi.]]
[[Picha:International Morse code.png|thumbnail|[[Alfabeti ya Morse]] ilikuwa msingi kwawa uenezaji wa telegrafu.]]
[[picha:Seaman send Morse code signals.jpg|thumb|[[Mwanamaji]] anatumia [[taa]] ya pekee kwa ujumbe wa nuru akitumia alama za Morse.]]
'''Telegrafu''' ''(kutoka [[ing.neno]] la [[Kiingereza]] ''telegraph;'' kutokalililotokana na mawili ya [[gir.Kigiriki]]: τῆλε, tele , "mbali", na γράφειν, graphein, "andikakuandika")'' ni njia ya kupeleka habari andishi kwa mpokeaji wa mbali bila kubeba [[barua]] kwake.
 
Telegrafu zilizotumiwa wakati wa [[karne za 19]] na [[Karne ya 20|20]] zilipitisha [[ujumbe]] kwa [[mkondo wa umeme]] uliopitia kwenye [[waya]].
'''Telegrafu''' ''([[ing.]] telegraph; kutoka [[gir.]] τῆλε tele "mbali", na γράφειν graphein "andika")'' ni njia ya kupeleka habari andishi kwa mpokeaji wa mbali bila kubeba barua kwake.
 
Telegrafu zilizotumiwa wakati wa karne za 19 na 20 zilipitisha ujumbe kwa mkondo wa umeme uliopitia kwenye waya. Telegrafu za zamani zaidi zilitumia [[alama]] za [[nuru]] au kwa alama nyingine zilizoonekana kwa mbali.
[[Picha:International Morse code.png|thumbnail|Alfabeti ya Morse ilikuwa msingi kwa uenezaji wa telegrafu]]
 
Kwa njia hii [[herufi]] za [[alfabeti]] zilitafsiriwa kwa alama zilizoweza kupitishwa kirahisi.
 
Baada ya majaribio mbalimbali, mbinu waya [[Samuel Morse]] ulifauluilifaulu mwaka [[1844]] na kusababisha uenezaji wa [[teknolojia]] hii kote [[duniani]]. Morse alitafsiri kila herufi katika mfumo wa alama fupi au ndefu zinazoweza kuandikwa kama mfuatano wa [[nukta]] na mstari au kutumwa kama alama fupi au ndefu ya nuru, [[sauti]] au [[umeme]] na kadhalika. [[Mashine]] ndogo ilitafsiri alama hizihizo katika mishtuko ya umeme iliyoweza kuchora tena alama katika mashine upande mwingine wa waya ambako [[Sumakuumeme|sumaku ya umeme]] uliweza kusukuma [[kalamu]] juu ya [[karatasi]]. <ref>{{cite web |url= http://www.150.si.edu/150trav/remember/r819.htm |title=Telegraph |work=150.si.edu |year=2007 [last update] |accessdate=November 26, 2011}}</ref>
 
[[Mawasiliano]] kwa telegrafu yaliwezesha kwa mara ya kwanza kutuma habari kote duniani katika [[muda]] mfupi. [[Magazeti]] na [[Kampuni|makampuni]] makubwa ya [[Uchumi|kiuchumi]] yalitangulia kutumia teknolojia hii, na [[serikali]] na [[jeshi]] zilifuata. Nyaya kubwa zilipitishwa kutoka nchi hadi nchi na pia kwenye [[tako la bahari]] kwa mawasiliano baina ya [[Bara|mabara]]. Katika karne ya 20 yalianza pia matumizi ya [[simu za upepo]] kwa habari za telegrafu.
 
Makampuni ya telegrafu zilipokea ujumbe ulioitwa "[[telegramu]]" kutoka wateja na kuzituma kwa mi[[mji]] au nchi nyingine; pale ziliandikwa tena kwenye karatasi na kupelekwa kwa mtu aliyeandikiwa. Makampuni yale yalipokea [[pesa]] kwa kila herufi iliyowasilishwa hivyo ujumbe ulikuwa mfupi.
 
Tangu kupatikana kwa simu matumizi ya telegrafu yalipungua lakini bado zilitumwa hadi kupatikana kwa simu za mkononi na barua pepe. Katika nchi mbalimbali huduma zilifungwa kuanzia mwaka 2000 hivi, katika nchi nyingine huduma bado iko. <ref>{{cite web |url= http://www.npr.org/templates/story/story.php?storyId=5186113 |title=Western Union Sends Its Last Telegram : NPR |first=Robert|last=Siegel |work=npr.org |date=February 2, 2006 |accessdate=November 26, 2011}}</ref>
[[picha:Seaman send Morse code signals.jpg|thumb|Mwanamaji anatumia taa ya pekee kwa ujumbe wa nuru akitumia alama za Morse]]
 
Tangu kupatikana kwa [[simu]] matumizi ya telegrafu yalipungua lakini bado zilitumwa hadi kupatikana kwa [[simu za mikononi]] na [[barua pepe]].
 
Tangu kupatikana kwa simu matumizi ya telegrafu yalipungua lakini bado zilitumwa hadi kupatikana kwa simu za mkononi na barua pepe. Katika nchi mbalimbali [[huduma]] hiyo zilifungwailifungwa kuanzia mwaka [[2000]] hivi, katika nchi nyingine huduma bado iko. <ref>{{cite web |url= http://www.npr.org/templates/story/story.php?storyId=5186113 |title=Western Union Sends Its Last Telegram : NPR |first=Robert|last=Siegel |work=npr.org |date=February 2, 2006 |accessdate=November 26, 2011}}</ref>
 
==Marejeo==
{{reflist}}
 
==Viungo vya nje==
{{commonscat|Telegraphy}}
 
{{tech-stub}}
 
[[Category:Mawasiliano]]