Mafuta (chakula) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d ChriKo alihamisha ukurasa wa Fati hadi Mafuta (chakula): Maneno ya Kiswahili yanapendelewa
Masahihisho
Mstari 1:
[[Picha:CashewSnack.jpg|thumb|250px|KoroshoMakorosho yana mafuta mengi mazuri]]
'''Fati''' ni [[neno]] lililotokana na [[Kiingereza]] "fat", maana yake ni [[mafuta]]. Fati ni sehemu ya [[chakula]] cha [[binadamu]] ambacho kipo katika mfumo wa mafuta au kimeundwa na mafuta kwa [[asilimia]] kubwa.
'''Mafuta''' au '''shahamu''' ni sehemu za [[chakula]] pamoja na [[wanga]], [[protini]] na [[vitamini]]. Neno "fati" (kutoka [[Kiing.]] [[w:fat|fat]]) afadhali lizuiwe. Vyakula vilivyo na mafuta mengi ni k.m. [[parachichi|maparachichi]], [[karanga]], [[korosho|makorosho]], [[mbegu]] kama [[alizeti]] na [[siagi]].
[[Picha:CashewSnack.jpg|thumb|250px|Korosho]]
 
Vyakula hivi ni kama [[parachichi]], [[siagi]] mbalimbali kama za [[maziwa]] na [[karanga]],korosho na kwenye [[nafaka]] kama [[alizeti]].
[[Picha:Avocado with cross section edit.jpg|alt= parachichi|thumb| Parachichi ]]
Vyakula hivi humsaidia [[mtu]] kwa kumpatia [[joto]] hasa wakati wa [[baridi]], pia huchangia katika [[uzalishaji]] wa [[nishati]] na [[nguvu]] kwa ajili ya mwili na pia hufanya [[kazi]] mbalimbali katika [[mmeng'enyo wa chakula]] [[Tumbo|tumboni]].
[[File:Fatmouse.jpg|left|thumb|upandeUpande wa kushoto ni panya mwenye mafuta mengi na pembeni yake ni mwenye mafuta ya kawaida.]]
 
Vyakula hivi huhitajika kwa asilimia chache sana ndani ya [[mwili]]. Vyakula vya fatimafuta vikizidi mwilini huwa na madhara kama kuziba [[Mishipa ya damu|mishipa]] na kusababisha [[ugonjwa]] huitwao [[Shinikizo la juu la damu|shinikizo la damu]] au maarufu kama presha. Ugonjwa huu hutokana na mafuta kuganda [[moyo]]ni na kusababisha moyo kushindwa kusukuma [[damu]] ipasavyo.
 
{{mbegu-biolojia}}