Tofauti kati ya marekesbisho "Siku ya Pi"

1 byte added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
[[Image:prince-of-pi.jpg|thumb|right|Larry Shaw mwanzilishaji wa sikukuu ya Pi pamoja na keki za sherehe]]
[[Image:Pi pie2.jpg|thumb|right|Keki ya Pi iliyoandaliwa kwenye chuo kikuu cha Delft (Uholanzi)]]
[[Image:prince-of-pi.jpg|thumb|right|Larry Shaw mwanzilishaji wa sikukuu ya Pi pamoja na keki za sherehe]]
 
'''Siku ya Π''' (tamka: pi) ni sikukuu ya kusheherekea namba '''[[π]]''' ('''[[pi (namba)|pi]]'''). Husheherekewa na wanahisabati na marafiki wa [[hisabati]] duniani.
Pi inayoitwa pia "namba ya duara" ni [[namba isiyowiana]] ilhali thamani yake hukaribia 3.14159265358.. au [[chamkano]] cha 22/7 lakini haiwezi kutajwa kikamilifu kwa njia hizi.