Katibu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Kuanzisha ukurasa wa katibu
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Katibu''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]) ni [[mtu]] anayefanya [[kazi]] ya kuandika, kwa mfano [[kumbukumbu]] za [[mkutano|mikutano]].

Anaweza pia kuwa na [[jukumu]] la kupanga na kuhifadhi [[maandishi]] ya [[shirika]], [[chama]] au [[kampuni]].

Neno Katibu pia lina maana ya mtu katika shirika anayepatiwa kazi maalumu.<ref>"[https://sw.oxforddictionaries.com/ufafanuzi/katibu Katibu]", Kamusi ya Oxford.</ref>
 
== Katibu kama msaidizi ==
Line 14 ⟶ 18:
== Tanbihi ==
<references />
 
{{mbegu}}
 
[[Jamii:Kazi]]
[[Jamii:Siasa]]