Majiranukta ya kijiografia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 8:
Gredi za longitudo zinaanza kuhesabiwa kwenye [[meridiani]] ya 0° iliyokubaliwa ni mstari kutoka [[ncha ya kaskazini]] hadi [[ncha ya kusini]] unaopita katika mji wa [[Greenwich]] (karibu na [[London]] / [[Uingereza]]).
 
Kwa mfano anwani ya National Theater mjini [[Accra]] ([[Ghana]]) ni: 5°33'14"N (latitudo) na 0°12'2"W (longitudo). Kwa namna nyingine ya kuandika viwianishi vya Ikulu mjini [[Dar es Salaam]] ni ni: -68155, 392982.
Anwani inaandikwa mara nyingi pia kwa njia ya [[desimali]] na hapa inawezekana kutaja mahali kimakinifu zaidi. Hapo Accra iko kwa 5.553938, 0.200581.