Sukulenti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tafsiri ya Aloe vera
d Mabadiliko madogo machache
Mstari 1:
[[Picha:Split Aloe.jpg|300px|thumbnail|Jani la [[mshubirimani]] lililokatwa; utomvu unatoka nje|link=https://sw.wikipedia.org/wiki/Picha:Split_Aloe.jpg]]'''Sukulenti''' ([[lat.]] ''sucus'' = utomvu; [[ing.]] ''succulents'') au '''Mimea yenye utomvu mwingi''' ni [[mimea]] iliyojitohoa kwa maisha katika mazingira [[Tabianchi#B: Tabianchi yabisi au nusuyabisi|yabisi]].
'''Sukulenti''' ([[lat.]] ''sucus'' = utomvu; [[ing.]] ''succulents'') au '''Mimea wenye utomvu mwingi''' ni [[mimea]] iliyojitohoa kwa maisha katika mazingira [[Tabianchi#B:_Tabianchi_yabisi_au_nusuyabisi|yabisi]].
 
Mimea hii ya [[Familia (biolojia)|familia]] na [[jenasi]] tofauti ina uwezo wa kutunza maji ndani ya [[janiJani|majani]] au [[shinaShina|mashina]] yao. Kwa hiyo mara nyingi ama majani au shina ni nono kutokana na uwingi wa [[utomvu]] ndani yao.
 
Kwa hiyo "sukulenti" si jina la spishi au familia maalumu ya mimea lakini neno hili inataja tu umbo la mmeamimea unaotkuwaya aina mbalimbali iliyo imekuwa tofauti kutokana na mazingira yake. Mimea[[Jenasi]] moja ya ainamimea (jenasi)inaweza mojakutia inawezandani kupatikanaaina kwazenye majani nono yenye utomvu mwingi auna pia aina nyingine kwazenye majani ya kawaida yakikuazinazomea katika mazingira tofauti.
 
Pia kuna tofauti kati ya watalaamu eti ni nini inayostahili kuitwa sukulenti. Wengi wanaangalia majani na mashina pekee lakini kuna wengine wanaoingiza mle pia mizizi inayotunza maji lakini wengine hawakubali.