Pasipoti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Pasipoti''' (ing. ''passport'') ni hati rasmi ambayo kwa kawaida inatolewa na serikali ya nchi na kumtambulisha mtu kama raia anayeruhusiwa kutoka na kurudi...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Pasipoti''' (ing.kwa [[Kiingereza]] ''passport'') ni [[hati]] rasmi ambayo kwa kawaida inatolewa na [[serikali]] ya nchi na kumtambulisha [[mtu]] kama [[raia]] anayeruhusiwa kutoka na kurudi nchini. Ni hati muhimu kwa watu wanaopitawanaovuka mipaka ya nchi.
 
Pasipoti ni [[mali]] ya nchi inayoitoa. Huwa na [[picha]], [[jina]] na [[sahihi]] ya mtu aliyeitolewaaliyetolewa, pamoja na [[tarehe]] na mahali pa kuzaliwa kwake. Kuna nchi zinazoingiza pia habari za kimaumbile zinazofichwa [[Elektroniki|kielektroniki]].
 
Kati ya aina mbalimbali za pasipoti kuna
*pasipoti ya kawaida
*pasipoti ya [[Diplomasia|kidiplomasia]], inayotolewa hasa kwa [[watumishi]] waliopo kwenye [[balozi]] za nchi
*pasipotpasipoti rasmi inayotolewa kwa watu wengine waliotumwa na serikali au kwa niaba ya serikali ya nchi yao bila ya kuwa na hali ya kidiplomasia.
 
[[jamii:Kitambulisho]]