Simu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 15:
Katika nchi nyingi za [[Afrika]] simu hizi zina faida ya pekee kwa sababu zinaruhusu [[mawasiliano]] hata pale ambako nyaya za [[Posta]] hazifiki.
 
==Namba za simu==
 
Kila simu inapaswa kuwa na namba ya pekee ikiunganishwa katika mtandao wa simu. Isipokuwa ofisi au kampuni inaweza kuwa na namba moja kwa simu zake zote halafu maungio ya simu ya ndani ambako ama mtu au mtambo unaunganisha simu za ndani na mtandao wa nje.