Pluto : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d taipo mada >masi
Mstari 2:
[[Picha:Pluto_by_LORRI_and_Ralph%2C_13_July_2015.jpg|thumb|upright|Pluto.]]
[[Picha:TheKuiperBelt Orbits Pluto Polar.svg|thumb|250px|<<small>Njia ya Pluto ya kuzunguka jua inakata njia ya Neptune - hali halisi njia ya Pluto ni duaradufu</small>]]
'''Pluto''' ni [[sayari kibete]] inayozunguka [[jua]] ng'ambo ya [[Neptune]]. MadaMasi yake ni hasa mwamba na barafu. [[Kipenyo]] chake ni 2,390 km.
Katika mwendo wake inakata njia ya Neptune kwa sababu njia yake ina umbo la duaradufu kali.