Mwangaza halisi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Mwangaza halisi''' ([[ing.]] ''absolute magnitude'') ni kipimo cha ukali wa nuru ya [[nyota]] au [[gimba la angani|magimba mengine ya anga]] jinsi ilivyo kwa umbali sanifu wa [[miaka ya nuru]] 32.6 au [[parsek]] 10.
 
Mwangaza halisi ni tofauti na [[mwangaza unaoonekana]] jinsi tunavyoona nyota kutoka Dunia. Maana mwangaza tunaoona unategemea na ukubwa wa nyota, umbali wake na mambo mengine. Nyota ndogo na hafifu iliyo karibu nasi katika anga la nje itaonekana angavu kushinda nyota kubwa iliyo mbali. Hii ni sawa na kuangalia [[taa]] iliyo karibu au mbali.