Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 11:
*kitivo cha sayansi.
 
Chuo kinadahili wanafunzi wa shahada za kwanza na za uzamili katika vitivo vyote isipokuwa kitivo cha sayansi ambacho hakitowihakitoi shahada za uzamili. Chuo kina wanataaluma zaidi ya mia tatu na kwa mwaka huu wa masomo kimedahili wanafunzi wa shahada za kwanza wapatao 2400 na wale wa shahada za juu zaidi ya mia mbili.
 
SUA ina chuo kishiriki cha MUCCoBS (Moshi University College Of Cooperatives and Business Studies) katika [[mkoa wa Kilimanjaro]].