Saruji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:BlueCircleSouthernCementBerrimaNSW.JPG|thumb|300px|Kiwanda cha saruji]]
'''Saruji''' ''(pia: simiti, simenti)'' ni [[mata]] laini kama ungaunga unaotengenezwa kutokana na [[chokaa]], [[udongo wa ufinyanzimfinyanzi]], [[mchanga]], [[chuma]] na mengine. Kwa kawaida huonekana kama [[unga]] wa [[rangi]] ya [[kijivu]].
[[Picha:Orange cement mixer.jpg|thumb|250px|Machine ndogo cha kukoroga saruji, maji na machanga]]
 
Hukorogwa na [[maji]] kuwa na hali kati ya ujiuji ila baada ya muda inaanza kuganda na kuwa imara kama [[jiwe]].
'''Saruji''' ''(pia: simiti, simenti)'' ni mata laini kama ungaunga unaotengenezwa kutokana na [[chokaa]], [[udongo wa ufinyanzi]], [[mchanga]], [[chuma]] na mengine. Kwa kawaida huonekana kama unga wa rangi ya kijivu.
 
Saruji imekuwa muhimu sana katika shughuli za [[ujenzi]]. Awali ilitumiwa kwa kushika [[mawe]] au [[matofali]] ya [[ukuta]] vikae pamoja.
Hukorogwa na maji kuwa na hali kati ya ujiuji baada ya muda inaanza kuganda na kuwa imara kama jiwe.
 
Baadaye ikagunduliwa ya kwamba saruji ikichanganywa na [[mchanga]] ma mawe madogo (kama [[kokoto]]) kuwa [[zege]] inaweza kumwagwa kati ya [[Ubao|bao]] [[mbili]] na kuwa imara ndani yaoyake. Kwa njia hiyo imewezekana kujenga haraka sana kwa kumwaga mchanganyiko wa zege ya saruji katika nafasi zilizoandaliwa awali. HapaHapo vyuma[[nondo]] vinaingizwaza [[chuma]] zinaingizwa ndani ya ukuta au [[sakafu]] ya saruji kwa kusudi la kuongeza uimara.
Saruji imekuwa muhimu sana katika shughuli za [[ujenzi]]. Awali ilitumiwa kwa kushika mawe au matofali ya ukuta vikae pamoja.
 
Baadaye ikagunduliwa ya kwamba saruji ikichanganywa na [[mchanga]] ma mawe madogo (kama [[kokoto]]) kuwa [[zege]] inaweza kumwagwa kati ya bao mbili na kuwa imara ndani yao. Kwa njia hiyo imewezekana kujenga haraka sana kwa kumwaga mchanganyiko wa zege ya saruji katika nafasi zilizoandaliwa awali. Hapa vyuma vinaingizwa ndani ya ukuta au sakafu ya saruji kwa kusudi la kuongeza uimara.
 
==Viungo vya nje==
{{commonscat|Cement}}
{{tech-stub}}
 
[[Jamii:Ujenzi]]