Marie Curie : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya Nje: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|de}} using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Marie Curie (Nobel-Chem).png|thumb|Marie Curie mwaka [[1911]].]]
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
'''Maria Curie''' ([[jina]] kamili: '''Maria Skłodowska-Curie'''; *[[7 Novemba]] [[1867]] – [[4 Julai]] [[1934]]) alikuwa [[mwanafizikia]] na [[mwanakemia]] Mpoland na Mfaransa aliyepata [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka 1903 na [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]] mwaka 1911.
 
Alizaliwa [[Poland]] kama Maria Skłodowska wakati nchi hiyo ilipokuwa chini ya [[Urusi]]. Wakati ule hapakuwa na nafasi kwa wanawake kusoma kwenye [[chuo kikuu]] nchini, hivyo akahamia [[Ufaransa]] mwaka [[1891]] akajiandikisha katika somo la [[fizikia]] akaendelea baadaye kuchukua [[digrii]] ya [[hisabati]].
Mstari 21:
[[Jamii:Waliozaliwa 1867]]
[[Jamii:Waliofariki 1934]]
[[Jamii:WanasayansiWanakemia wa Poland|Curie]]
[[Jamii:WanasayansiWanakemia wa Ufaransa|Curie]]
[[Jamii:Wanafizikia wa Poland|Curie]]
[[Jamii:Wanafizikia wa Ufaransa|Curie]]
[[Jamii:Tuzo ya Nobel ya Fizikia|Curie]]
[[Jamii:Tuzo ya Nobel ya Kemia|Curie]]