Tofauti kati ya marekesbisho "Aristoteli"

41 bytes removed ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
[[Picha:Aristoteles Louvre.jpg|right|thumb|200px|Aristoteli , nakala ya Kiroma ya kichwa kilichochongwa kiasili na mchongaji Mgiriki [[Lysippo]] wakati wa karne ya 4 KK]]
'''Aristoteli''' (kwa [[Kigiriki]] '''Αριστοτέλης''', Aristotelēs; pia: '''Aristo''') (*; [[384 KK]] - [[7 Machi]] [[322 KK]]) alikuwa [[mwanafalsafa]] muhimu wa [[ustaarabu]] wa [[Ugiriki ya Kale]].
 
Pamoja na [[Plato]] huhesabiwa kati ya wanafalsafa muhimu zaidi katika [[utamaduni]] wa [[Ustaarabu wa magharibi|magharibi]]. Aristoteli alikuwa mwalimu wa [[Aleksander Mkuu]] kabla huyu hajawa [[mfalme]].
 
Alichangia sehemu kubwa sana katika [[elimu]] ya [[sayansi]] na [[falsafa]]. mawazo na ugunduzi wake umewachochea watu na [[maandishi]] yake yametafsiriwa na kusomwa na watu wengi sana. <ref>Profesa wa historia James MacLachlan aliandika hivi: ulimwenguUlimwengu wa asili yalitawala katikaulitawala fikra za watu wa Ulaya kwa miaka 2000.</ref>
 
AristotoAristoteli aliandika kuhusu [[sanaa]], [[nyota]], [[biolojia]], [[maadili]], [[lugha]], [[sheria]]. Zamani watu wa Ulaya walifuata mafundisho ya Aristoteli. [[Mwanateolojia]] mashuhuri wa [[Roma]] [[Thomas Aquinas]] alitumia sana maandishi ya Aristoteli.
 
== Maisha ==
Aristoteli alizaliwa kwenye [[rasi]] ya [[Halkidiki]] katika [[Ugiriki]] ya kaskazini kama mtoto wa mganga wa mfalme Amyntas wa [[Masedonia]].
 
Alipofikia [[umri]] wa miaka 17 au 18 alitumwa kusoma kwenye [[chuo]] cha [[Plato]] huko [[Athens]] alipokaa kwa miaka 20, mwanzoni kama mwanafunzi baadaye kama mwalimu.
 
Baada ya [[kifo]] cha Plato mwaka [[347]] alisafiri akatembelea mahali mbalimbali kwenye visiwa vya [[Bahari ya Aegei]] pamoja na [[Asia Ndogo]]. Akakaa kwa mfalme [[Hermias wa Assos]] akamwoa binti yake [[Phytias]].
 
{{BD|384 KK|322 KK|Aristoteli}}
<!-- interwiki -->
 
[[Jamii:Wanafalsafa wa Ugiriki ya Kale]]
[[Jamii:Watu wa Ugiriki ya Kale]]
[[Jamii:Wanafalsafa]]
[[Jamii:Wanauchumi]]