Tofauti kati ya marekesbisho "Kisukuku"

294 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
[[Picha:Petrified forest log 2 md.jpg|thumb|right|250px| Mti uliokuwa jiwe]]
[[Picha:Archeopterix-img 0293.jpg|thumb|250px|[[Archeopteryx]] ni ndege wa kwanza anayejulikana kutokana na visukuku akifanana bado na [[reptilia]] lakini anaonyesha [[manyoa]] tayari]]
'''Kisukuku''' (ing.kwa [[Kiingereza]]: ''fossile'') ni [[mabaki]] ya viumbehai[[kiumbehai]] au mimea([[mmea]] au wanyama[[mnyama]]) kutoka zamani za miaka 10,000 au zaidi. Visukuku vingi vina [[umri]] wa miaka mamilioni[[milioni]] kadhaa.
 
Mabaki yanapatikana kwa [[umbo]] tofautitofauti, hasa kama:
'''Kisukuku''' (ing. ''fossile'') ni mabaki ya viumbehai au mimea au wanyama kutoka zamani za miaka 10,000 au zaidi. Visukuku vingi vina umri wa miaka mamilioni.
* visukuku vya [[Jiwe|kijiwe]] vinavyoweza kutupa picha ya viumbehai vya nyakati zilizopita, na
 
* visukuku vya [[makaa]] na [[mafuta]] ambavyo ni chanzo muhimu cha [[nishati]].
Mabaki yanapatikana kwa umbo tofautitofauti, hasa kama
* visukuku vya kijiwe vinavyoweza kutupa picha ya viumbehai vya nyakati zilizopita, na
* visukuku vya makaa na mafuta ambavyo ni chanzo muhimu cha nishati
 
== Visukuku vya kijiwe ==
Mara nyingi [[Mwili|miili]] ya wanyama na mimea imehifadhiwa kwa umbo la jiwe. Ni kama picha au au hata [[sanamu]] ya kiumbe kile. Mifano bora imepatikana pale ambakoambapo mmea au mwili wa mnyama ulianguka katika [[matope]] laini na kuzama chini haraka. Ndani ya matope laini mwili haukuoza shauri la uhaba wa [[oksijeni]] na uhaba wa [[bakteria]]. Polepole [[maji]] ya matope yaliingia danindani ya mwili na kujaza nafasi zilizojazwa awali na [[kiowevu]] cha [[seli]] wakati kiumbe kilikuwakilipokuwa hai. Maji ya matope yalipeleka pia [[minerali]] mbalimbali ndani ya mwili. Jinsi mwendo huu uliwezaulivyoweza kuendelea bila kuzuiliwakuzuiwa, polepole hata [[seli]] ziliweza kujazwa kwa vipande vidogo vya matope na [[minerali]] nyingine. Kama baada ya miaka mingi matope yalikauka, hata matope ndani ya seli za mwili ulikauka lakini kwa kutunza umbo la seli hizi. Kama [[ganda]] la matope liliendelea kufunikwa na tabaka za [[udongo]] wa juu, [[shindikizo]] la juu lilianza kubadilisha ule udongo kuwa [[jiwe]] na [[mwamba]] kabisa.
 
Kama mwili mwenyewewenyewe umeshaoza hadi [[kiunzi]] cha [[mifupa]] kilifunikwa kuna pia visukuku vya mifupa tu. Viumbe kama [[konokono]] mara nyingi viliacha visukuku vya umbo la nje pekee, kwa sababu miili yao ni laini sana, hivyo ilipotea haraka, na ganda lao halikubali maji yenye mineralminerali kuingia ndani yake.
 
Sehemu ambako [[mazingira]] yalifaa kwa kutokea kwa visukuku huitwa "Lagerstätte" na [[wataalamu]] "Lagerstätte" (la-ger-ste-te, [[neno]] la kijerumani[[Kijerumani]]) na hapa mifano mingi imewahi kuchimbwa. Kutokana na mwendo wa [[gandunia]] (yaani kukunjwa kwa [[ganda la Duniadunia]]) sehemu hizi zinaweza kupatikana chini ya [[ardhi]] au juu [[mlimani]].
 
Kwa njia hii ilitokea mifano kamili ya miili ya [[spishi]] zisizopatikana tena [[duniani]]. Wataalamu hulinganisha visukuku na wanyama au mimea ya leo na haphapo wanapata picha juu ya [[Mageuko ya spishi|mabadiliko ya spishi]]. [[Nadharia]] ya [[mageuko ya spishi]] iliathiriwa sana na matokeo ya [[utafiti]] wa visukuku.
 
Aina ya pekee ya visukuku ni [[wadudu]] waliofungwa ndani ya utomvi[[utomvu]] wa [[miti]] uliobadilika baadaye kuwa [[kaharabu]].
 
== VisikukuVisukuku vya makaa na mafuta ==
Sehemu kubwa ya mimea ya kale haikugeukiwahaikugeuka kuwa visikukuvisukuku vya kijiwe bali mabaki yao yalibadilika wakati yalipokaa kama tabaka juu ya uso wa ardhi yalifunikwa kwa udongo na kubadilishwa kwa shindikizo na [[joto]].
 
Makaa yote yaliyopo chini ya ardhi ni matokeo ya mmchakato chakato huuhuo; ndani ya makaa wakati mwingine sehemu za miti bado zinaonekana lakini zimebadilishwa kuwa makaa. Hivyo [[asili]] ya makaa ni hasa [[misitu]] ya kale na miti yaoyake.
 
[[Mafuta ya petroli]] imetokanayametokana na [[algae]] na mimea mingine ya [[Bahari|baharini]]. Baada ya kufa mabaki yao yalizama chini hadi [[sakafu ya bahari]]. Kutokana na uhaba wa oksijeni hapo chini mabaki hayakuoza na tabaka nene za matope zilitokea. Kama maganda haya yalifunkiwayalifunikwa polepole na udongo na minerali nyingine kulitokea mchakato wa mabadiliko kutokana na shindikizo na joto. Mchakato huu ulibadilisha matope ya mimea kuwa mafuta ya petroli. Hapa ilitokea pia [[gesi]]. Pale ambako gesi hii ilifungwa chini ya takaba ya [[Mwamba (jiolojia)|miamba]] isiyopitika tunakuta siku hizi [[akiba]] za [[gesi asilia]] zinazofikiwa kwa kutoboa miamba na kupeleka gesi kwa [[bomba|mabomba]] pale inapotumiwainapohitajika kutumiwa.
 
==Tazama pia==