Roberto Firmino : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Roberto Firmino akiwa Hoffenheim '''Roberto Firmino Barbosa''' (aliyezaliwa Oktoba 2 1991) ni mchezaji wa s...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Roberto Firmino 2014 03 08.jpg|thumb|Roberto Firmino akiwa Hoffenheim.]]
'''Roberto Firmino Barbosa''' (aliyezaliwaalizaliwa [[Oktoba 2 Oktoba]] [[1991]]) ni [[mchezaji]] wa [[soka]] wa [[Brazil]] ambaye anachezea [[klabu]] ya Ligi Kuu ya [[Uingereza]] [[Liverpool]] na [[timu ya Taifataifa]] ya [[Brazil]]. Ni mchezaji mwenye uwezo wa kucheza kama [[kiungo mshambuliaji]], [[mfungaji]] na [[winga]] wa kushoto.
 
== Hoffenheim ==
Firmino iliyosainiwa na [[Hoffenheim]] mnamo [[Desemba]] [[2010]], na [[mkataba]] uliendelea mpaka [[Juni]] [[2015]]. Aliwasili rasmi huko Hoffenheim tarehe [[1 Januari]] [[2011]]. Kisha [[meneja]] wa Hoffenheim [[Ernst Tanner]] alisema kuwa "walifurahi kuajiri mchezaji wa Brazil mwenye uwezo mkubwa". Firmino aliipatia hoffenheimHoffenheim mafanikio makubwa.
 
== Liverpool ==
Tarehe [[23 Juni]] 2015, wakati firminoFirmino aliipigania Brazil kwenye Copa América, Hoffenheim na Firmino walikubaliana Firmino kuhamia katika klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza [[Liverpool]] kwa ada ya £ [[milioni]] 29. Firmino Alifunga magoli yake yakwanza matano dhidi ya [[Arsenal]] na [[Norwich City]] mwezi huo wa sita.
 
{{mbegu-cheza-mpira}}
{{BD|1991|}}
[[Jamii:Wachezaji mpira wa Brazil]]