2 Oktoba
tarehe
(Elekezwa kutoka Oktoba 2)
Sep - Oktoba - Nov | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 2 Oktoba ni siku ya 275 ya mwaka (ya 276 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 90.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1538 - Mtakatifu Karoli Borromeo, askofu mkuu wa Milano
- 1852 - William Ramsay, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1904
- 1869 - Mahatma Gandhi, mwanasheria, mwanafalsafa na mwanaharakati nchini Uhindi
- 1871 - Cordell Hull, mwanasiasa Mmarekani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1945
- 1879 - Wallace Stevens, mshairi kutoka Marekani
- 1907 - Alexander Todd, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1957
- 1917 - Christian de Duve, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1974
- 1933 - John Gurdon, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2012
- 1962 - Jeff Bennett, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1989 - Diamond Platnumz, mwanamuziki kutoka Tanzania
- 1993 - Simon Msuva, mcheza mpira wa Tanzania
Waliofariki
hariri- 1264 - Papa Urban IV
- 1927 - Svante Arrhenius, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1903
- 1987 - Peter Medawar, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1960
- 2005 - August Wilson, mwandishi kutoka Marekani
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Malaika walinzi, Eleuteri wa Nikomedia, Saturi, Leodegari na Jerini, Beregisi, Ursichini wa Chur, Theofilo wa Bulgaria n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day Ilihifadhiwa 20 Januari 2007 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 2 Oktoba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |