Mkate : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Mkate na dini: tafsiri mbili
Mstari 45:
Ombi la [[nne]] katika Mathayo linataja "mkate wa kila siku". Katika [[tafsiri]] za [[Kiswahili]] za sala hii ombi limetafsiriwa kwa njia mbili tofauti.
 
Utamaduni wa [[Waafrika]] wengi haukujua mkate kama chakula. Neno "mkate" kiasili kiliamaanisha kipande cha chochote kilichokatwa nakutoka sehemu kubwa zaidi.
 
Wamisionari Wazungu Waluteri waliofika Afrika ya Mashariki walitoka Ujerumani ambako mkate si chakula cha kila mlo wakajua katekesimo ya Martin Luther ambako swali "Mkate wa kila siku unamaanisha nini" linajibiwa: "Chochote tunachohitaji kwa mwili na maisha kama vile kula, kunywa, nguo,viatu, nyumba, kaya, shamba...". Hapo waliona kuna neno la Kiswahili cha "riziki" kinachotaja maana ya chakula ambacho wakati ule hakikujulikana kwa Waafrika.