Mvutano : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
nyongeza kidogo
Mstari 4:
'''Graviti''' (pia: '''kani ya mvutano''', '''nguvu za uvutano''', '''nguvu mvutano''') ni [[kani]] ya uvutano iliyopo kati ya [[gimba|magimba]] yote ya [[ulimwengu]]. Kila gimba lenye [[masi]] linavuta magimba yote mengine yenye masi.
 
Hii ndiyo sababu ya kwamba tunatembea [[duniani]] badala ya kuelea [[Hewa|hewani]]: kwa sababu masi ya [[dunia]] inatuvuta kuelekea [[kiini]] chake. Sisi tuna uvutano wakwa dunia pia, lakini hali halisi kani hii ni ndogo mno kulinganakwa nasababu nguvumasi yayetu ni ndogo kulingana na masi kubwa ya duniaDunia. Wakati huohuo dunia yetu inavutwa na [[jua]] na hii ndiyo sababu ya kwamba dunia inazunguka jua katika [[obiti]] na haiwezi kukimbia mbali nayo.
 
Tukitupa [[jiwe]] hewani litaanguka chini. Hii ni kwa sababu kani ya [[mkono]] ilipeleka jiwe kwenda juu lakini kani ya uvutano wa dunia inalirudisha kwake.