Mizani (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 7:
 
==Jina==
JinaMizani lailijulikana Kiswahilikwa nijina Mizanihili kwa miaka mingi kati ya mabaharia Waswahili waliotumia nyota kutafuta njia baharini wakati wa usiku. Neno naMizano linatokana na Kiarabu <big>ميزان </big> ''mizan'' ambalo linamaanisha "mizani". Jina hili lilipokelewa na Waarabu kutoka kwa [[Waroma wa Kale]] waliosema Libra ("mizani"). Kati ya mataifa ya kale mara nyingi nyota za Mizani zilihesabiwa kuwa sehemu ya [[Akarabu (kundinyota)|Akarabu (nge)]], pamoja na kuangaliwa kama kundi la pekee.<ref> Hinkley, Star-names and their meanings 269 ff </ref> Ptolemaio alitumia jina la Χηλαι ''khelai'' inayomaanisha "magando" yaani magando ya nge lakini aliiorodhesha kama kundinyota ya pekee<ref>Toomer (1984), uk. 371</ref>. Hii ni pia sababu ya kwamba nyota mbili abngavu zaidi bado zinaitwa "Zubani" yaani magando ya nge.
 
== Mahali pake ==