Galileo Galilei : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 2:
'''Galileo Galilei''' ([[5 Februari]] [[1564]] – [[8 Januari]] [[1642]]) alikuwa [[mtaalamu]] wa [[fizikia]], [[hisabati]] na [[astronomia]] kutoka nchini [[Italia]].
 
Anakumbukwa kwa sababu aliweka [[msingi|misingi]] ya [[mbinu]] mpya za [[sayansi]] zinazoendelea kutumiwakutumika hadi leo. Akiwa mtaalamu wa kwanza aliyetumia [[darubini]] kwa kutazama [[nyota]] na [[sayari]] na kwa njia hiyo alipanua [[ujuzi]] wa [[binadamu]] juu ya [[ulimwengu]].
 
== Ujana wake ==
[[Baba]] yake alikuwa [[mfanyabiashara]] aliyejishughulisha pia na maswalimasuala ya hisabati.
 
Galileo alisomeshwa kwenye [[shule ya monasteri]] akaendelea kusoma [[tiba]] [[mji|mjini]] [[Firenze]] lakini akaacha masomo hayo akachukua hisabati badala yake.
 
== Kanuni za anguko ==
Mstari 13:
 
== Astronomia na darubini ==
Alihamia chuo kikuu cha [[Padua]] alipofanya kazi kati ya 1592 na [[1610]]. Alisikia kuhusu [[chombo]] kipya cha [[darubini]] (kionambali) kilichobuniwa na [[Mholanzi]] [[Hans Lipperhey]] akaiiga na kujenga yakeya kwake. Alikuwa mtu wa kwanza aliyetumia chombo hicho kwa kutazama [[Mwezi (gimba la angani)|mwezi]], [[sayari]] na [[nyota]]. Aliona [[milima]] kwenye mwezi akawa mtu wa kwanza aliyeona miezi ya sayari [[Mshtarii]]. Vilevile aliweza kuangalia sayari [[Ng'andu]] (Zuhura/Venus) jinsi ilivyoonyesha awamu sawa na mwezi zilizoonekana kama [[mwezi mwandamo]], [[nusu mwezi]] au [[mwezi mpevu]]. Aliona pia [[madoa ya jua]].
 
Vilevile aliweza kuangalia sayari [[Ng'andu]] (Zuhura/Venus) jinsi ilivyoonyesha awamu sawa na mwezi zilizoonekana kama [[mwezi mwandamo]], [[nusu mwezi]] au [[mwezi mpevu]]. Aliona pia [[madoa ya jua]].
Mwaka [[1610]] [[mtawala]] wa [[Toskana]], [[Cosimo II]] kutoka [[nasaba]] ya [[Medici]], aliyewahi kuwa [[mwanafunzi]] wake, alimkaribisha kuwa mwanahisabati mkuu na pia profesa huko Pisa.
 
Mwaka [[1610]] [[mtawala]] wa [[ToskanaToscana]], [[Cosimo II]] kutoka [[nasaba]] ya [[Medici]], aliyewahi kuwa [[mwanafunzi]] wake, alimkaribisha kuwa mwanahisabati mkuu na pia profesa huko Pisa.
Alipendwa na watu wengi, pia na [[kardinali]] [[Maffeo Barberini]] aliyeendelea baada ya kuwa [[Papa Urban VIII]].
 
Alipendwa na watu wengi, pia na [[kardinali]] [[Maffeo Barberini]] aliyeendelea kufanya hivyo baada ya kuchaguliwa kuwa [[Papa Urban VIII]].
 
== Kesi ya Kanisa dhidi yake ==
[[Picha:Galileo Galilei01.jpg|thumb|right|[[Sanamu]] ya Galileo Galilei kwenye [[kaburi]] lake ndani ya [[Kanisa]] la Msalaba Mtakatifu mjini [[Firenze]], [[Italia]].]]
Matokeo ya utafiti wa Galilei yalipinga [[hoja]] ya awali iliyofundishwa na wataalamu wa [[Ugiriki ya Kale]] na kukubaliwa na wataalamu wa sayansi ya siku zile na pia katika [[Kanisa Katoliki]]. Kwa Galilei ilikuwa wazi ya kwamba [[dunia]] yetu si [[kitovu]] cha [[ulimwengu]], tena aliamini [[jua]] ni kitovu chake na kwamba [[NikolausNicolaus KopernikusCopernicus]] pamoja na [[Johannes Kepler‎]] waliwahi kusema [[ukweli]].
 
Mwanzoni Papa Urban VIII (aliyefuatilia kwa karibu [[majadiliano]] ya wataalamu kuhusu elimu ya nyota) alimpa Galilei [[moyo]] wa kuandika kuhusu [[nadharia]] ya Koperniko, lakini alimwonya kutoionyesha kama ukweli bali kama nadharia mojawapo.
Line 29 ⟶ 31:
Katika [[kesi]] mbele ya [[mahakama ya Kanisa]] alionywa asitangaze maoni yake mapya kuwa ukweli, badala yake alitakiwa kusema ni uwezekano tu. Sehemu ya [[vitabu]] vyake vilipigwa marufuku na mwenyewe aliambiwa kukaa ndani ya [[nyumba]] yake.
 
[[Mwaka]] [[1992]] [[Papa Yohane Paulo II]] alisema hivi kuhusu kesi dhidi ya Galilei:
« Kama wapinzani wake walio wengi, Galileo hakutofautisha mtazamo wa sayansi kuhusu mambo ya kimaumbile na fikra za kifalsafa juu ya maumbile ambazo kwa kawaida zinadaiwa nao. Ndiyo sababu alikataa pendekezo alilopewa la kuita 'dhana' mafundisho ya Kopernicus, hadi yathibitishwe moja kwa moja, ingawa hilo lilikuwa sharti la mbinu ya majaribio aliyoibuni mwenyewe kwa akili kubwa. [...] Kumbe, suala walilojiuliza wanateolojia wa wakati huo lilikuwa lile la ulinganifu wa mafundisho ya jua kuwa kiini cha ulimwengu na Maandiko Matakatifu. Hivyo sayansi mpya, kwa mbinu zake na uhuru wa ukufanya utafiti unaodaiwa nazo, ililazimisha wanateolojia kujiuliza juu ya vigezo vyao vya kufafanulia Maandiko. Wengi wao wakashindwa kufanya hivyo. Ajabu, Galileo, mwamini mnyofu, alijitokeza anaelewa kuliko wanateolojia waliompinga kuhusu jambo hilo. » (Yohane Paulo II kwa wanasayansi wa Akademia ya Kipapa ya Sayansi, 31 Oktoba 1992)