Ndoa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:WikiWed.jpg‎|thumb|right|''Pete'', mfano wa ndoa]]
'''Ndoa''' ni muungano wa maisha yote kati ya watu wawili au zaidi unaokubaliwa na kuheshimiwa na jamii.
 
Katika [[utamaduni]] wa [[nchi]] nyingi uhusiano huo ni kati ya [[mwanamume]] mmoja na [[mwanamke]] mmoja tu na unalenga ustawi wao na [[uzazi]] wa [[watoto]] katika [[familia]].
Mstari 6:
Katika nchi nyingine inakubalika ndoa kati ya watu wawili ambao mmojawao ana au anaweza kuwa na mwenzi au wenzi wengine pia ([[mitara]]), hususan ndoa ya mwanamume mmoja na wanawake zaidi ya mmoja. Kumbe kwingine hilo ni [[kosa la jinai]].
 
MiakaTangu yamwaka mwisho2000 nchi chachenyingi zimeanza kuruhusu ndoa kati ya watu wawili wa [[jinsia]] moja. Kumbe nchi nyingine zinapinga vikali jaribio hilo kama kinyume cha maumbiledini na desturi. [[Takwimu]] zinaonyesha kwamba katika [[ndoa za jinsia moja]] [[uaminifu]] ni mdogo kuliko katika ndoa za jinsia mbili (ona [[uhusiano wa wazi]]), nalakini kwambawale udumifuwaliofunga wakendoa niza wajinsia moja wana kiwango cha talaka kilicho chini sana kuliko watu walifunga ndoa za jinsia mbili katika muda mfupihuohuo. zaidiNdoa za wanaume wawili zinasedeka kushinda zile za wanawake wawili.
 
Mara nyingi [[harusi]] inafanyika kwa [[ibada]] maalumu kadiri ya [[dini]] ya wahusika.