Zohali : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 45:
== Bangili za Zohali ==
Tabia ya pekee ya Zohali ni bangili zake. Mtu wa kwanza wa kuziona alikuwa [[Galileo Galilei]]
Siku hizi imejulikana ya kwamba bangili ni vipande vya barafu, vumbi na mawe. Vipande vyake vina ukubwa kati ya [[milimita]] chache hadi mita kadhaa kama motokaa. Unene wa bangili ni mita mamia kadhaa.
Tangu kuboreka kwa darubini na kupita kwa vipimaanga karibu na sayari za mbali bangili zimetambuliwa pia kwa sayari za Mshtarii, Uranus na Neptuni lakini ni dhaifu hazionekani kwa darubini sahili ya mkononi.
==Marejeo==
|