National Rainbow Coalition : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''National Rainbow Coalition (NARC)''' ni chama cha kisiasa nchini Kenya kilichoanzishwa kabla ya uchaguzi wa mwaka 1992. ==NARC kama maungano wa vyama== Ilikuwa maungano wa vyama m...
 
No edit summary
Mstari 1:
'''National Rainbow Coalition (NARC)''' ni chama cha kisiasa nchini [[Kenya]] kilichoanzishwa kabla ya uchaguzi wa mwaka 1992.
 
==NARC kama maungano waya vyama==
Ilikuwa maungano wa vyama mbalimbali vya upinzani dhidi ya [[KANU]] na rais [[Daniel arap Moi]]. Ilikuwa hasa na pande mbili:
*vyama vya National Alliance Party of Kenya (NAK) iliyounganisha [[Democratic Party (Kenya)|Democratic Party]] ya [[Mwai Kibaki]] na vyama vidogo mbalimbali
* Chama cha [[LDP (Kenya)|LDP]] kilichounganisha wanasiasawalioondokawanasiasa walioondoka katika KANU baada ya [[Uhuru Kenyatta]] kutangaziwa kuwa mgombea wa urais. Kati yao walikuwa hasa Raila Odinga na wanachama wa awali wa NDP halfu wana-KANU wa miaka mingi waliosikitika jinsi Moi alimteua Uhuru Kenyatta kuwa mfuasi wake.
 
==Memorandum of Understanding==
Mstari 15:
 
==Ushindi na mwanzo wa farakano==
NARC ikashinda uchaguzi wa 2002 na Kibaki akawa rais mpya. NARC ilishinda na LDP ilikuwa na wabunge wengi kati ya vyama vya NARC. Lakini Kibaki hakutekeleza azimio la pamoja katika Memorandum of Understanding kupatia LDP nusu ya mawaziri wala kuwezesha mabadiliko ya katiba ya kumpa Odinga nafasi ya waziri mkuu.
 
LDP iliendelea kudai mapatano yafuatwe ikakataliwa na polpole kuelekea upande wa upinzani hata kama bado ilikuwa sehemu ya serikali.