Kenya African National Union : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Kenya African National Union''' au '''KANU''' ni chama cha kisiasa nchini [[Kenya]]. KANU ilikuwa chama tawala cha nchi tangu uhuru katika mwaka [[1963]] hadi kushindwa katika uchaguzi wa 2002.
 
==Chama cha uhuru==
Chama kilianzishwa [[1944]] kwa jina la Kenya African Study Union. Jina likabadilishwa haraka kuwa "'''Kenya African Union'''" likabaki hivyo hadi [[1960]]. Mwenyekiti wa KAU alikuwa [[Jomo Kenyatta]] tangu mwaka [[1947]] hadi kifo chake 1978. Tangu Oktoba 1978 [[Daniel Arap Moi]] akawa kiongozi wa chama.
 
==Chama cha pekee==
1982 katiba ya Kenya ilibadilishwa kulingana na [[mfumo wa chama kimoja]] na KANU kuwa chama cha kisiasa cha pekee. Vyama vingine vilipigwa marufuku. Hali hii ilidumu hadi 1991 wakati serikali ya Moi ililazimishwa kukubali vyama vingi na badiliko la katiba tena.
 
==Mfumo wa vyama vingi==
Mwaka 2002 Moi alipanga kukabidhi uongozi wa taifa mkononi mwa [[Uhuru Kenyatta]] aliye mtoto wa mzee Jomo Kenyatta kwa njia ya uchaguzi wa rais. Wananchi wa Kenya walipendelea chama cha Rainbow Coalition pamoja na mgombea wake [[Mwai Kibaki]] na KANU ilipata kura chache ikarudi bungeni kama chama cha upinzani.
Katika uchguzi za 1992 na 1997 KANU ilifaulu kurudi kama chama kikubwa kwa sababu wapinzani wake walikosa umoja na kura za upinzani zilitawanyika kwa vyama mbalimbali kama vile [[Democratic Party of Kenya]], [[Ford-Kenya]], [[Ford-Asili]] na [[National Development Party of Kenya]].
 
2001 Moi alipatana ushirikiano na Raila Odinga wa NDP aliyejiunga na serikali ya Moi kwanza kama waziri. Baadaye NDP ilijiunga na KANU na jina la chama cha pamoja likawa KANU Mpya (New KANU). Odinga akawa Katibu Mkuu.
Leo hii KANU imeona mafarakano mengi. Chama kilichobaki kinaongozwa na Uhuru Kenyatta lakini anapingwa na kundi chini ya [[Nicolas Biwott]].
==Farakano la 2002 na upinzani==
Mwaka 2002 Moi alipanga kukabidhi uongozi wa taifa mkononi mwa [[Uhuru Kenyatta]] aliye mtoto wa mzee Jomo Kenyatta kwa njia ya uchaguzi wa rais. Hii ilileta farakano ndani ya KANU. Kundi la Raila Odinga pamoja na wanaKANU wa miaki mingi waliondoka kwa sababu hawakuridhika na Kenyatta kuwa mgombea wa urais.
 
Mwaka 2002 Moi alipanga kukabidhi uongozi wa taifa mkononi mwa [[Uhuru Kenyatta]] aliye mtoto wa mzee Jomo Kenyatta kwa njia ya uchaguzi wa rais. Wananchi wa Kenya walipendelea chama cha [[National Rainbow Coalition]] pamoja na mgombea wake [[Mwai Kibaki]] na KANU ilipata kura chache ikarudi bungeni kama chama cha upinzani.
 
==Matatizo na kukaribiana na Kibaki==
LeoWakati hiihuu wa upinzani baada ya 2002 KANU imeonailiona mafarakano mengi. Chama kilichobaki kinaongozwakiliongozwa na Uhuru Kenyatta lakini anapingwaalipingwa na kundi chini ya [[Nicolas Biwott]] kilichojitenga kwa muda. 2006 wakajiunga na serikali ya umoja wa kitaifa cha Kibaki.
 
Kabla ya uchaguzi wa 2007 KANU iliunga mkono maungano ya [[Party of National Unity (Kenya)|Party of National Unity]] ya rais Kibaki ikimpigania Kibaki kama rais lakini kuwa na wagombea wake wa pekee. KANU ilirudisha wabunge 5 tu.
 
== Viungo vya Nje ==
<references />
 
* []
* [http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/2612427.stm BBC report of KANU defeat]