Tofauti kati ya marekesbisho "Lava (volkeno)"

106 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
<sup>Kwa kutaja watoto wa wadudu angalia makala ya [[lava]]</sup>
[[File:Lava Lake Nyiragongo 2.jpg|thumb|right|300px|Ziwa ya lava kwenye [[Mlima Nyiragongo]] katika [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]]]]
'''Lava''' (kutoka [[ing.jina]]/ la [[lat.Kiingereza]] lenye asili ya [[Kilatoni]] [[w:lava|lava]], wakati mwingine pia "zaha"<ref>Kamusi za [[TATAKI]] na [[BAKITA]] hutaja zaha kama visawe vya lava; kamusi ya [[KAST]] inataja zaha kama visawe vya volkeno yenyewe.</ref>) ni [[mwamba (jiolojia)|mwamba]] ulio katika hali ya [[kiowevu]] kutokana na [[joto]] kali. Chini ya uso wa [[dunia]] mwamba joto wa kuyeyuka huitwa "[[magma]]" badala ya lava. Sawa na magma yenyewe lava inaweza kuwa nzito kama uji-ujiujiuji au nyepesi kama maji-majimajimaji. <ref name=camilla>{{cite book | last = | first = | authorlink = | coauthors = | title = Earth Science| publisher = Holt, Rinehart and Winston, Austin, Texas| date = 2001| pages = | url = | doi = | id = | isbn = 0-03-055667-8}}</ref> .
 
Lava inatoka nje kwa kawaida wakati wa [[mlipuko wa volkeno]]. Inaweza kutoka pia katika [[ufa]] kwenye [[ganda la dunia]].
 
Wakati wa kutoka hali yake ni kiowevu yenye [[halijoto]] kati ya 600[[°C]] hadi 1200&nbsp;°C. Ndani ya [[shimo]] la [[kasoko]] ya [[volkeno]] lava inaweza kukaa kama [[ziwa]] la kuchemka.
 
Ikitoka nje ya kasoko inaweza kuwa kama [[mto]] wa [[moto]]. Mwendo wake hutegemea na mnato wake yaani kama hali yake ni zaidi majimaji au ujiuji. Kadiri inavyoenea mbali na kasoko inapoa na kuwa mwamba.
 
Ikipoa inaganda na kuwa [[mwamba (jiolojia)|mwamba]] imara.
 
==Picha==
<gallery>
Image:Stromboli Eruption.jpg|Mlipuko wa volkeno ya [[Stromboli]] ([[Italia]]) - kile chekundu kwenye picha ni lava.
Image:Aa_large.jpg|Mto wa lava kwenye volkeno ya [[Kilauea]] ([[Hawaii]])
Image:PahoehoeLava.jpg|Lava ikipoa inaweza kuonekana hivyo.
== Marejeo ==
<references/>
{{mbegu-jio}}
 
 
[[Jamii:Volkeno]]