Galaksi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
masahihisho madogo |
masahihisho madogo |
||
Mstari 5:
Kuna galaksi nyingi sana [[ulimwengu]]ni. Kwa [[wastani]] kila galaksi imekadiriwa kuwa na nyota kama [[bilioni]] 100 lakini kuna galaksi kubwa na ndogo.
Galaksi yetu, ikiwemo [[mfumo wa jua|mfumo wetu wa jua]], imekadiriwa kuwa na nyota zaidi ya 300,000,000,000. Sehemu ya nyota hizi zinaonekana kama [[kanda]] la kung'aa kwenye [[anga]] la [[usiku]] linalojulikana kwa [[rangi]] yake kama [[njia nyeupe]] au "njia ya [[maziwa]]"<ref>Maziwa (mfano maziwa ya ng'ombe) kwa [[Kigiriki]] huitwa "galaks" na hapo aili ya jina "galaksi".</ref>. Umbo lake
Galaksi iliyo karibu angani inaitwa [[Andromeda (galaksi)|Andromeda]] na ina umbali wa miaka ya nuru milioni 2.5.
|