FORD-Asili : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''FORD-Asili''' (pia: '''FORD-A''') ni chama cha kisisasa nchini [[Kenya]]. Jina ni kifupi cha '''Forum for the Restauration of Democracy-Asili'''. FORD-Asili ilianzishwa 1992 baada ya farakano ya harakati ya FORD ya pamoja.
 
==Chanzo katika Fordfarakano la FORD ya awali==
FORD ([[Forum for the Restauration of Democracy]]) ilikuwa harakati ya kisiasa tangu 1991 iliyopigania kuruhusiwa kwa vyama vingi na demokrasia wakati wa [[mfumo wa chama kimoja]] na utawala wa [[KANU]] nchini Kenya. Rais [[Daniel arap Moi]] alilazimishwa na nchi za nje kukubali uchaguzi wa vyama vingi.

==Uchaguzi 1992==
Kabla ya uchaguzi wa 1992 FORD ilifarakana kati ya wafuasi wa viongozi [[Kenneth Matiba]] kutoka [[Mkoa wa Kati (Kenya)|Mkoa wa Kati]] na [[Martin Shikuku]] kutoka [[Mkoa wa Magharibi (Kenya)|Mkoa wa Magharibi]] kwa upande mmoja na kwa upande mwingine [[Jaramogi Oginga Odinga]] kutoka [[Mkoa wa Nyanza]]. Wafuasi wa Odinga waliunda [[FORD-Kenya]]. Wafuasi wa Matiba waliendelea kwa jina la FORD-Asili.
 
Mgombea wa Ford-A Matiba alipata nafasi ya pili katika uchaguzi wa rais 1992 kwa asilimia 26.8 za kura baada ya Moi/KANU aliyepata asilimia 36.8. Kutokana na farakano la upinzani Moi alirudishwa kama rais.