Tofauti kati ya marekesbisho "Majadiliano ya mtumiaji:Baba Tabita"

 
::::Asante kwa kuuliza na kwa maombi yenu. Kimwili nimepona. Bado nahitaji matibabu mengine. Ndiyo sababu sitakuwepo kwenye wikipedia hadi Novemba au zaidi. --'''[[Mtumiaji:Baba Tabita|Baba Tabita]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Baba Tabita#top|majadiliano]])''' 14:40, 8 Julai 2018 (UTC)
 
:::::Upumzike tu kwa sasa. Tunajitahidi kuendelea bila wewe kwa sasa lakini ujue tunasubiri kwa hamu kurudi kwako. Ubarikiwe! '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 12:43, 9 Julai 2018 (UTC)