Kasoko ya dharuba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 16:
* Chini-kushoto: Kasoko ya Barringer ("Meteor Crater") huko Flagstaff, Arizona, Marekani ina umri wa miaka 50,000
* Chini-kulia: Kasoko ya Tycho kwenye Mwezi
|}
|}[[Picha:Impact movie.ogv|250px|thumb|Kutokea kwa kasoko kutokana na dharuba (filamu ya maabara ya NASA)]]
'''Kasoko ya dharuba''' (ing. impact crater) ni tundu kwenye ardhi kutokana na mshtuko wa kugongwa na gimba. [[Kasoko]] ina umbo la duara; katikati ni kama shimo na
'''Kasoko ya dharuba''' (kwa [[Kiingereza]] ''impact crater'') ni [[tundu]] kwenye [[ardhi]] linalotokana na mshtuko wa kugongwa na [[gimba]]. [[Kasoko]] ina [[umbo]] la [[duara]]; katikati ni kama [[shimo]] na ukingo wake unainuliwaunainuka juu ya uwiano wa [[mazingira]] yake. [[Duniani]] kasoko zinapatikana mara nyingi kutokana na milipuko[[Mlipuko wa volkeno|milipuko]] ya [[volkeno]] au milipuko mingine.
 
Katika [[magimba ya angani]] yenye uso thabiti kuna kasoko nyingi kama matokeo ya kugongwa na magimba kutoka [[anga la nje]]. Kwa mfano, kwenye [[Mwezi (gimba la angani)|Mwezi]] wa [[Dunia]] kuna kasoko nyingi zilizosababishwa na migongano ya [[asteroidi]] au [[kimondo|vimondo]]. Pigo la [[kitu]] kigumu linarusha [[mata]] iliyopo mahali pa mgongano ikipangwa pembeni yakwa tundu hili kwa umbo la ukingo wa [[mviringo]].
 
Duniani kasoko nyingi kutokana na mishtuko ya aina hii zinasawazishwa baada ya muda fulani kutokana na [[mmomonyoko]] wa [[mvua]] na [[upepo]]; kwenye magimba pasipo na [[angahewa]] kama Mwezini zinabaki kwa miaka mamilioni[[milioni]] kadhaa.
 
==Tazama pia==
Mstari 29:
==Tanbihi==
<references/>
{{mbegu-jio}}
 
[[jamii:Astronomia]]
[[Jamii:jiografia]]