Wali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
''Kwa Wali kama cheo cha msimamizi wa eneo tazama "[[liwali]]"''
[[Image:Nasi lemak.jpg|thumb|250px|Wali kwa kuku kwenye sahani]]
'''Wali''' ni [[nafaka]] iliyopikwa kama [[chakula]] na hasa [[mbegu]] ya [[mpunga]] inayoitwa [[mchele]] baada ya kazi ya kuikoboa yaani kutoa [[ganda|maganda]] yake.