Kimbunga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
Fixed type
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 3:
[[Picha:Animated hurricane.gif|frame|right|Picha ya [[rada]] ya kimbunga upande wa kaskazini ya [[ikweta]] inaonyesha mwendo wake]]
 
'''Kimbunga''' ni [[dhoruba]] kali inayoanza juu ya [[bahari]] katika maeneo ya [[tropiki]] yenye [[upepo]] mwenye kasi ya zaidi ya 117 [[km/hsaa]]. Kimbunga ni dhoruba aina ya [[tufani]].
 
Inaanza juu ya bahari ya kitropiki penye maji yenye halijoto juu ya 26 [[°C]]. Hewa joto yenye [[mvuke]] nyingi inaanza kupanda juu na kuzunguka. Mzunguko huo unaongezeka kasi kuwa dhoruba. Kasi ikifikia mwendo wa 117 km/hsaa inaitwa kimbunga.
 
Vimbunga vinatokea katika [[bahari]] zote penye maji ya moto kaskazini na kusini ya [[ikweta]]. Mzunguko hufuata mwendo wa saa kama kimbunga kinatokea kusini ya [[ikweta]]; ni kinyume cha mwendo wa saa kama kinatokea kaskazini ya ikweta.