Kilomita kwa saa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 43 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q180154 (translate me)
No edit summary
Mstari 2:
'''Km/h''' ni kifupi cha "'''Kilomita kwa saa'''" ni kipimo cha [[kasi]]. '''Km''' pekee yake ni kifupi cha [[kilomita]] na '''h''' ni kifupi cha [[saa]] ''([[Kilat.]] hora > [[kiing.]] hour)''.
 
Kitu chenye kasi ya 1 km/h 1 (kilomita moja kwa saa) kinatembea kilomita moja katika muda wa saa moja. Mwanadamu kwa mwendo wa wastani anatembea kwa 5 km/h 5 yaani katika muda wa saa moja anatembea kilomita moja. Kwa kutumia baisikeli kwa kasi ya wastani mtu hutembea kwa 15 km/h 15 hadi 20 km/h 20. Magari yanaruhusiwa kutembea kwa 50km/h mjini na 80 hadi 100 km/h 100 nje ya miji.
 
Kipimo cha [[SI]] kwa kasi ni [[m/s]] yaani [[mita]] kwa [[sekunde]] lakini hakitumiki sana kwa sababu katika maisha ya kila siku watu hawataki kujua mwendo wao kwa kila sekunde.
 
== Viungo vya Nje ==