Kompyuta bapa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
+ngoja kwanza
Mstari 2:
'''kompyuta bapa''', ni kifaa kinachoweza kubebeka, kwa kawaida ina mfumo wa uendeshaji wa [[simu]] na LCD ya ushughulikiaji kwa kugusa [[kioo]] chake, ina [[betri]] inayoweza kuimarishwa [[nguvu]] yake kila inapokuwa imekwisha.
[[Picha:Baslate 7sch android tablet computer.jpg|alt=kompyuta bapa|left|frameless|Kompyuta bapa]]
Kompyuta bapa, hufanya kile ambacho [[kompyuta]] za kawaida zinafanya, lakini hazina uwezo wa [[I / O]] ambao kompyuta za kawaida zinazo. Kompyuta bapa za kisasa zinafanana na [[simu]] za kisasa, tofauti tu kuwa kompyuta bapa ni kubwa zaidi kuliko simu za mkononi, na [[skrini]] ya [[inchi]] [[7]] na 18 sm kama ikupimwa kwa mshazari.