Karata : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
+picha
Mstari 1:
[[File:Theodoor Rombouts - Joueurs de cartes.jpg|thumb|right|''Wachezaji wa Karata'', [[mchoro]] wa [[Theodoor Rombouts]] ([[karne ya 17]]).]]
[[Picha:Agnes Bernauer Tesseract Mobile.jpg|thumb|Karata za kimagharibi jinsi inavyotumiwa kwenye kompyuta]]
[[Picha:Karuta kana.jpg|thumb|Karata za Kijapani]]
'''Karata''' (kutoka [[ing.]] ''card'' kiasili [[neno]] la [[Kilatini]] ''carta'' kwa maana ya karatasi) ni kipande cha karatasi yenye namba au picha ikiwa sehemu ya idadi mfululizo za karata. Hivyo neno linataja pia [[mchezo]] ambao huchezwa na [[watu]] mbalimbali kwa lengo la kushindana ili kujifurahisha au kama mchezo wa kamari kwa kupata fedha kutoka wenzao.