Nyasa (ziwa) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 13:
 
== Eneo la Ziwa ==
Eneo la ziwa ni km² 29,600. Sehemu kubwa ni eneo la Malawi, [[robo]] ya kusini-mashariki ni eneo la Msumbiji, robo ya kaskazini-mashariki ni eneo la [[Tanzania]]. Lakini kuna [[ugomvi]] kati ya Malawi na Tanzania kuhusu mipaka. Malawi imedai ya kwamba maji yote hadi [[ufukwe|ufukoni]] upande wa Tanzania ni sehemu ya eneo lake la kitaifa. Tanzania imedai ya kwamba mpaka uwepo katikati kufuatana na [[desturi]] za kimataifa.
 
Kuna [[ugomvi]] kati ya Malawi na Tanzania kuhusu mipaka. Malawi imedai ya kwamba maji yote hadi [[ufukwe|ufukoni]] upande wa Tanzania ni sehemu ya eneo lake la kitaifa. Tanzania imedai ya kwamba mpaka uwepo katikati kufuatana na [[desturi]] za kimataifa.
Sababu ya mzozo ni utaratibu wa [[Ukoloni|kikoloni]]. Wakati wa [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]] kulikuwa na mpaka wa kimataifa kaskazini mwa ziwa. Baada ya mwaka [[1919]] [[Uingereza]] ilitawala [[Tanganyika]] pamoja na [[Malawi]] (Nyasaland). Kwa kusudi la kurahisisha utawala mambo yote yaliyohusu ziwa yaliwekwa chini ya [[serikali]] ya kikoloni ya Nyasaland.
 
Sababu ya mzozo ni utaratibu wa [[Ukoloni|kikoloni]]. Wakati wa kuundwa kwa [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]] serikali za Uingereza na Ujerumani zilipatana kuhusu mipaka ya eneo la Kijerumani kwa kutaja mpaka ulifuata ufuko wa Ziwa Nyasa.<ref>"In East Africa, Germany's sphere of influence is demarcated thus: ... To the south by the line that starts on the coast of the northern border of Mozambique Province and follows the course of the Rovuma River to the point where the Messinge flows into the Rovuma. From here the line runs westward on the parallel of latitude to the shore of Lake Nyasa. Turning north, it continues along the eastern, northern, and western shores of the lake until it reaches the northern bank of the mouth of the Songwe River. " ([[Mkataba wa Helgoland-Zanzibar]] wa 1890, Kifungo I,2))</ref> Baada ya mwaka [[1919]] [[Uingereza]] ilitawala [[Tanganyika]] pamoja na [[Malawi]] (Nyassaland).
Baada ya [[uhuru]] Malawi ilijaribu kutumia desturi hizo kama [[haki]] yake ya kitaifa. [[Polisi]] yake ilijaribu kutawala wavuvi na [[feri]] za Tanzania ziwani. Mzozo huu ulisababisha [[risasi]] kufyatuliwa baada ya uhuru. Hadi leo hakuna mapatano rasmi lakini nchi zote [[mbili]] zinaendelea bila kutumia nguvu. Hali halisi Malawi imeheshimu dai la Tanzania haijasumbua tena wavuvu au feri za jirani ndani ya robo ya kaskazini-mashariki ya ziwa.
 
Baada ya [[uhuru]] Malawi ilijaribuilitaka kutumia desturihistoria hizohii kama [[haki]] yake ya kitaifa. [[Polisi]] yake ilijaribu kutawala wavuvi na [[feri]] za Tanzania ziwani. Mzozo huu ulisababisha [[risasi]] kufyatuliwa baada ya uhuru. Hadi leo hakuna mapatano rasmi lakini nchi zote [[mbili]] zinaendelea bila kutumia nguvu. Hali halisi Malawi imeheshimu dai la Tanzania haijasumbua tena wavuvu au feri za jirani ndani ya robo ya kaskazini-mashariki ya ziwa.
 
==Marejeo==
<references/>
 
{{mbegu-jio-Afrika}}