Wagermanik : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Uhamisho mkuu wa Ulaya: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|als}} (2) using AWB (10903)
Mstari 25:
 
==Asili ya Wagermanik==
Asili ya Wagermanik haijulikani kikamilifu. Inaaminiwa leo ya kwamba wasemaji wa lugha asilia ya Kigermanik walikaa mwanzoni katika [[Skandinavia]] na Ujerumani ya Kaskazini hadi takriban mwaka [[750 KK]]. Wakati ule kuna uwezekano wa kwamba kipindi cha [[hali ya hewa]] [[baridi]] kilisababisha [[njaa]] katika maeneo yao na kuwafanya wahamie kusini wakifuata [[pwani]] za [[bahari]] na mabonde ya mito mikubwa kama [[Rhine]], [[Elbe]], [[Oder]] na [[Vistula]].
 
Caesar aliwakuta kando ya mto Rhine mnamo mwaka [[50 KK]]. Mwandishi Mroma [[Tacitus]] aliwajua wengine waliokaa kaskazini na mashariki zaidi. Waroma waliandika ya kwamba walipenda [[vita]], walikuwa na wafalme waliochaguliwa katika mkutano wa wanaume huru waliovaa silaha, walikula [[nyama]] ya kuchoma na kunywa [[bia]] au [[divai]]. Waroma walijaribu kupanua utawala wao ndani ya Germania lakini baada ya kushindwa na Wagermanik mnamo mwaka [[9]] BK walijenga maboma mengi na ukuta mkubwa kando ya mito Rhine na [[Danubi]] kama mpaka wa kudumu dhidi yao.