Kiwanda : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Protected "Kiwanda" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho))
No edit summary
Mstari 1:
<sup>Kwa matumizi tofauti ya jina hili angalia [[Kiwanda (maana)]]</sup>
[[File:Wolfsburg VW-Werk.jpg|thumb|250px|Kiwanda cha [[Volkswagen]] huko [[Wolfsburg]] nchini [[Ujerumani]].]]
'''Kiwanda''' ni mahali ambapo [[bidhaa]] mbalimbali hutengenezwa, yaani penye [[Jengo|majengo]] na [[mashine]]. Bidhaa hizo zinaweza kuwa [[ndoo]], [[sahani]], [[bakuli|mabakuli]], [[kijiko|vijiko]], [[sufuria|masufuria]], [[magari]], [[kompyuta]], [[bati]], [[vyakula]] mbalimbali, [[nyundo]], [[pasi]], [[baiskeli]], pikipki[[pikipiki]] na [[Kitu|vitu]] mbalimbali kwa ujumla. HIvyoHivyo kuna aina mbalimbali za viwanda: vipo viwanda vya vyakula, vya magari, vya [[vifaa vya ujenzi]], vya [[chombo|vyombo]] mbalimbali, na vya vitu vizito, vya vyuma n.k.
 
==Historia==
Viwanda vilisambaa hasa kuanzia [[karne ya 19]] wakati wa [[Mapinduzi ya viwandani]] ambako [[uzalishaji]] wa bidhaa ulihamishwa kutoka [[karakana]] za [[Fundi|mafundi]] kwenda [[taasisi]] kubwa zaidi ambako mashine pamoja na mpangilio wa [[kazi]] viliongeza tija ya uzalishaji.
 
Line 10 ⟶ 11:
 
Uzalishaji wa bidhaa katika viwanda umekuwa msingi muhimu wa mchakato wa [[utandawazi]] ambako bidhaa nyingi zinazalishwa katika nchi fulani na kuuzwa kote [[duniani]] ilhali vipuli vya kutengenezea bidhaa hizi tena zinatoka katika nchi tofauti.
Kila nchi ina viwanda mbalimbali. Viwanda hivyo huisaidia nchi hiyo pindi iuzapo bidhaa hizo, pia huisaidia nchi husika kunufaika kiuchumi kwa uwepo wa viwanda hivyo.
 
Zipo nchi zenye viwanda vingi zaidi; nchi yenye viwanda vingi ni nchi tajiri, kwa mfano [[Japani]]. JapaniViwanda inaongoza kwa kuwa na viwanda vingi zaidi duniani, pia viwanda hivyovyake ni vya kutengeneza bidhaa kubwa na nzito zaidi., Bidhaakama hizo zinazozalishwa nchini japan nivile [[meli]], [[Ndege (uanahewa)|ndege]], [[treni]], magari, n.k.
 
Kila nchi ina viwanda mbalimbali. Viwanda hivyo huisaidia nchi hiyo pindi iuzapo bidhaa hizo, pia huisaidia nchi husika kunufaika kiuchumi kwa uwepo wa viwanda hivyo.
 
Viwanda vina [[faida]] kubwa sana katika nchi yenye viwanda hivyo; faida hizo ni:
* 1) Kuisaidia nchi kukua kiuchumi,
* 2) kupata [[fedha za kigeni]],
* 3) kulipa [[deni|madeni]] wanayodaiwa,
* 4) kuajilikuajiri watu ambao hawana [[kazi]],
* 5) na kunufaisha [[taifa]] kwa ujumla n.k.
 
Tunapokuwa na viwanda tunanufaika kwa vitu vingi. Lakini viwanda vina madhara pia, tena mengi sana. Madhara hayo ni:
* 1) [[moshi]] unaotoka viwandani huharibu [[anga hewa]] (ozon layer) ambapo [[anga]] linapo tobokalinapotoboka husababisha mahali hapo kuwa na [[joto]] kali sana ,
* 2) maji machafu[[majitaka]] yanayotiririshwa kwenye [[mito]] husababisha madhara kwa viumbe[[viumbehai]] wa [[Maji|majini]] na watu wanaotumia maji ya mto huo,
* 3) [[uchafu]] unaobaki husababisha [[magonjwa]] mbalimbali ya milipuko,
* 4) viwanda hutoa [[hewa chafu]] ambayo husababisha matatizo ya [[upumuaji]] kwa ujumla. Kwa hiyo tuvitunze viwanda vyetu ili vilete faida, si kuangamiza watu na viumbe wengine.
 
Kwa hiyo tuvitunze viwanda vyetu ili vilete faida, si kuangamiza watu na viumbe wengine.
 
{{mbegu-uchumi}}