Madawa ya kulevya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Psychoactive_Drugs_Legend.jpg|thumb|right|300px|Aina mbalimbali ya madawa ya kulevya.]]
'''Madawa ya kulevya''' ni [[hatari]] sana kwa [[binadamu]] kwa kuwa husababisha [[Ugonjwa|magonjwa]] kama [[mapafu]] na kuharibu [[utindio wa ubongo]].
 
Mstari 11:
 
== Ulevi wa madawa ya kulevya ==
Dawa za kulevya hutumiwa kwa jianjia minginyingi ikiwemo kuvuta kama sigara na bangi, kukulakula kama peremende, kumeza kama tembe, kunusia hasa zile dawa za kulevya unga ungaungaunga, kukunywakunywa kwa zile dawa za kulevya maji majimajimaji, au kutafuna na kumeza maji yake kisha kutupa mabaki kama vile miraa. Dawa zinginenyingine hutimiwahutumiwa kwa jianjia ya kupikia chakula au vinywaji kama viungo, kujindunga sidano na kupumua mivuke yake ijulikanayo kwa [[lugha]] za [[Msimu (lugha)|kimsimu]] kama "dabbing"<ref>{{Citation|last=Anon.|first=|title=All you need to know about dabbing|date=2018-08-01|url=https://www.trythecbd.com/what-is-dabbing/|work=Try The CBD|language=en-US|access-date=2018-08-17}}</ref>.
 
Utumizi wa madawa ya kulevya hufanya mtumiaji alewe na ajisikie huru au kuwa upeo mwingine kuliko wa kawaida. Katika [[lugha]] za [[Msimu (lugha)|kimsimu]] huitwa kuwa ‘high’ au ‘stoned’. Hali hii humfanya mtu awe mtovu wa [[nidhamu]] au kufanya mambo ambayo hata mwenyewe atashtuka baadaye akiwa hajatumia madawa.