Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na b) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Angalia: wewe hujawa mkabidhi wala bureaucrat. Labda baada ya kuchangia sana Wikipedia yetu. Jitahidi, basi. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:45, 11 Juni 2018 (UTC)Reply

Asante kwa kunirekebisha, bado sijapata umahiri katika matumizi ya Wikipedia ya Kiswahili lakini nina matumaini ntafikia kiwango kile cha mkabidhi na bureaucrat. Mimi ni mhariri wa lugha ya kingereza lakini naelewa kiswahili vyema hivyo nilitafsiri tu beji toka kwa ukurasa wa kingereza zingine sikuwa na uhakika zina maana gani. Asanti kwa yote

--Anjakretfep (majadiliano) 10:48, 11 Juni 2018 (UTC)Reply

Ndugu, endelea kuchangia, lakini jitambue kwamba Kiswahili chako ni cha wasiwasi, kwa hiyo usijaribu kubadili matini usipokuwa na hakika kuhusu sarufi au misamiati. Amani kwako tena! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:43, 7 Julai 2018 (UTC)Reply

Bilula dhidi ya fauseti

hariri

Anja salaam. Tafadhali ningependa ujibu swali yangu hapa: Majadiliano:Fauseti_(Bilula). Asante. ChriKo (majadiliano) 19:37, 12 Julai 2018 (UTC)Reply

Tovuti za biashara

hariri

Ndugu, kama hujajua, Wikipedia si mahali pa propaganda. Hivyo usiweke viungo vya tovuti za biashara. Kazi njema na amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 12:37, 20 Desemba 2018 (UTC)Reply

Nasisitiza hilo. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:38, 13 Januari 2019 (UTC)Reply
Naelewa vyema Wikipedia sio mahali pa propaganda na nimemakinika katika michango yangu, sijaongeza tovuti yeyote tangu rekebisho lako nasahihi tu sarufi. Asante!! --Anjakretfep (majadiliano) 07:57, 13 Januari 2019 (UTC)Reply

Mlawangi

hariri

Nimeondoa "mlawangi" katika makala mnyama. Maana nimeikuta pale facebook pekee, haiko katika kamusi zangu. Hata sielewi etimolojia yake. Ukiwa na ushuhuda basi tunaweza kuirudisha. Kipala (majadiliano) 07:23, 29 Januari 2019 (UTC)Reply