Nyanda za juu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Nyanda za juu za Ethiopia '''Nyanda za juu''' ni maeneo yaliyoinuliwa juu<ref>University of California Museum o...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Ethiopia relief location map.jpg|thumb|Nyanda za juu za Ethiopia]]
'''Nyanda za juu''' ni maeneo yaliyoinuliwa juu<ref>University of California Museum of Paleontology (1995 and later), [http://www.ucmp.berkeley.edu/glossary/glossary_U.html#upland upland], UCMP Glossary</ref> , ama juu ya maeneo yaliyo jirani au kwa kiwango fulani juu ya [[usawa wa bahari]]. Kimataifa hakuna ufafanuzi makini ya istilahi hii<ref>Ives, Jack: Highland-lowland interactive systems, [fao.org/forestry/12408-0c3cc6fd0b741cebf40769c2130c27f99.pdf online hapa]</ref>.
 
Mara nyingi inataja milima midogo au pia tambarare iliyopo mnamo mita 500 juu ya usawa wa bahari; wakati mwingine [[milima]] ya juu zaidi huhesabiwa humo, wakati mwingine inatofautishwa na nyanda za juu.
 
Mifano ya nyanda za juu: