Ukristo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Replacing ChristianityBranches.svg with File:Christianity_major_branches.svg (by CommonsDelinker because: File renamed: Criterion 2 (meaningless or ambiguous name)).
Mstari 167:
 
== Mafarakano makuu kati ya Wakristo ==
[[Picha:ChristianityBranchesChristianity major branches.svg|600px|thumb|center||Matawi ya Ukristo yalivyotokea katika [[historia ya Kanisa]]. Upande wa juu ndio Kanisa la Magharibi, upande wa chini Makanisa ya Mashariki. Unene wa mistari haulingani na ukubwa wa madhehebu husika.]]
[[File:Taizé prayer.JPG|thumb|right|Ibada ya pamoja katika [[monasteri]] ya [[Ekumeni|kiekumeni]] [[Taizé]], [[Ufaransa]].]]
Katika historia ndefu ya Ukristo, yalitokea mafarakano mengi, waamini wa Yesu wakizidi kutofautiana. Makundi makubwa zaidi ni: [[Kanisa Katoliki]], Makanisa ya [[Waorthodoksi]] na ya [[Waorthodoksi wa Mashariki]] na [[madhehebu]] ya [[Uprotestanti]]. Hasa tangu mwaka [[1910]] madhehebu mengi yanashiriki juhudi za [[ekumeni]] kwa ajili ya kurudisha umoja wa awali.