Fomula : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
masahihisho na nyongeza
No edit summary
 
Mstari 1:
Katika [[hisabati]] au [[sayansi]] '''fomula''' ni kanuni iliyoandikwa katika [[alama]] za ki[[aljebra]].
 
Fomula hutumia [[herufi]] au alama za pekee (kama [[π]]) badala ya [[neno|maneno]]. Mfano rahisi wa formula ni y = x. Ikiwa x = 1, fomula y = x ingeweza kutoa taarifa kwamba x ni sawa na y, kwa hiyo, y = 1.
Mstari 5:
*[[Fomula za hisabati]]: Fomula mashuhuri katika hisabati ni [[uhakiki wa Pythagoras]] '''a<sup>2</sup> + b<sup>2</sup>=c<sup>2</sup>''' inayomaanisha ya kwamba kwenye [[pembetatu mraba]] jumla ya miraba juu ya miguu inayokutana kwenye [[pembemraba]] ''(cathetus)'' ni sawa na mraba juu ya kiegema (''hypotenuse'', upande usiounganishwa na [[pembemraba]]).
 
*[[Fomula za fizikia]]: Fomula mashuhuri katika [[fizikia]] ni fomula ya [[nishati]], '''e = mc<sup>2</sup>''' , iliyoundwa na [[Albert Einstein]]. e inawakilisha [[nishati]], m inawakilisha [[uzito]] na c ni [[kasi]] ya [[mwanga]]. Hivyo, nishati = uzito×uzito × [[kasi ya mwanga]] [[mraba]].
 
*[[Fomula za kemia]] hueleza uhusiano baina [[elementi]] ndani ya [[molekuli]]. Fomula mashuhuri ya kemia ni '''H<sub>2</sub>O''' kwa maji: [[atomi]] 2 za [[hidrojeni]] pamoja na atomi 1 ya [[oksijeni]] huunda [[molekuli]] 1 ya [[maji]]
 
*[[Fomula za kemia]] hueleza uhusiano baina ya [[elementi]] ndani ya [[molekuli]]. Fomula mashuhuri ya [[kemia]] ni '''H<sub>2</sub>O''' kwa [[maji]]: [[atomi]] 2 za [[hidrojeni]] pamoja na atomi 1 ya [[oksijeni]] huunda [[molekuli]] 1 ya [[maji]]
{{mbegu-sayansi}}
[[Jamii:Hisabati]]
[[Jamii:Kemia]]
[[Jamii:Fizikia]]