Boma la Kale, Dar es Salaam : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 1:
'''Boma la Kale''' ni [[jengo]] la [[Historia|kihistoria]] [[Mji|mjini]] [[Dar es Salaam]]. Pamoja na [[Atiman House]] iko kati ya majengo mawili yaliyobaki na vyanzo wa mji huu tangu nayakati zilizotangulia [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani|ukoloni wa Kijerumani]]<ref>Sutton, J.E.G. (1970). "Dar es Salaam: a sketch of a hundred years". Tanzania Notes and Records (71): 4–5</ref>.
==Nyumba ya wageni kabla ya ukoloni==
[[Nyumba]] hii ilijengwa [[mwaka]] [[1866]] wakati [[Sultani]] [[Sayyid Majid|Sayyid Majid bin Said]]
Jinsi ilivyokuwa kawaida katika [[ujenzi]] wa nyumba za [[Waswahili]] wenye uwezo, [[Ukuta|kuta]] zilijengwa kwa kutumia [[matumbawe|mawe ya matumbawe]]; kwa [[ghorofa]] [[dari]] ilitengenezwa kwa kufunga nafasi kati ya kuta kwa magogo ya [[mikoko]] yenye [[ubao]] ambao huliwi na [[wadudu]]. Kwa hiyo [[urefu]] wa mikoko iliyopatikana iliamulia [[upana]] wa vyumba, ambao ni takriban [[mita]] 3. ==Kuimarishwa wakati wa Vita ya Abushiri==
Baada ya [[kifo]] cha Sayyid Majid, alifuatwa na [[Sayyid Barghash]] ambaye hakupenda kuendelea na mradi wa makao mapya
Mwaka [[1888]] sultani mpya [[Sayyid Khalifa]] aliamua Mwaka uliofuata wenyeji wa pwani walipinga majarabio ya kampuni hii kuchukua mamlaka ya kiutawala ==Matumizi ya kiofisi wakati wa ukoloni==
[[Utawala]] wa Kampuni ya Kijerumani uliporomoka katika vita ya Abushiri na sasa [[serikali]] ya [[Berlin]] iliingia kati na kuchukua utawala moja kwa moja
Wakati wa [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] Dar es Salaam ilivamiwa na [[jeshi]] la [[Uingereza]]
==Urithi wa Kitaifa wa Tanzania==
Baada ya uhuru polisi ilihamia majengo mapya. Boma la Kale lilitumiwa kwa ofisi mbalimbali za serikali. Mnamo [[1980]] kulikuwa na mipango ya kobomoa nyumba lakini wananchi wengi wa mji walitetea jengo
Tangu mwaka [[2014]] taasisi ya [[Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage|Dar es Salaam Centre for Architectural Heritage (DARCH)]] iliweza kupatana na [[Halmashauri ya Jiji]] la Dar es Salaam kuhusu mipango ya ukarabati na matumizi ya Boma la Kale. Tangu mwaka [[2017]] Boma la Kale ni kituo cha kiutamaduni
==Tanbihi==
|